The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,205
- 22,219
kibaka na tapeli wa kisiasa kupitia ukristo sio gentleman πUdhalimu haujawahi kumwacha mtu salama nyakati za CCM kupata ushindi kwa njia za ujanja ujanja zipo ukingoni.
CCM wanadhani No reform No election ni agenda ya Lissu kumbe ni watanzania wote. Bila chadema kushiriki uchaguzi tutashuhudia aibu kubwa sana mwaka huu.
Kwa sasa namwona Askofu. Gwajima anavyokuja kasi, naona CCM wakihaha tena ukamataji wa. Lissu haujasaidia lolote na vuguvugu la mabadiliko ya sheria za uchaguzi.
Chadema haifi, Hata kwa tone tone mwitikio wake siyo wa kitoto watu wataibeba chadema mgongoni hadi mwisho maana wana imani kubwa sana na chama hiki.
CCM wasipokubali ukweli wataondolewa madarakani kwa aibu kubwa sana watajutia sarakasi zao za sasa
Ameni
Hakika watajipigia wenyeweUdhalimu haujawahi kumwacha mtu salama nyakati za CCM kupata ushindi kwa njia za ujanja ujanja zipo ukingoni.
CCM wanadhani No reform No election ni agenda ya Lissu kumbe ni watanzania wote. Bila chadema kushiriki uchaguzi tutashuhudia aibu kubwa sana mwaka huu.
Kwa sasa namwona Askofu. Gwajima anavyokuja kasi, naona CCM wakihaha tena ukamataji wa. Lissu haujasaidia lolote na vuguvugu la mabadiliko ya sheria za uchaguzi.
Chadema haifi, Hata kwa tone tone mwitikio wake siyo wa kitoto watu wataibeba chadema mgongoni hadi mwisho maana wana imani kubwa sana na chama hiki.
CCM wasipokubali ukweli wataondolewa madarakani kwa aibu kubwa sana watajutia sarakasi zao za sasa
Ameni
Imekuaje kibaka mmempa ubunge kupitia chama chq majambazi?kibaka na tapeli wa kisiasa kupitia ukristo sio gentleman π
kumbe ubunge ni kitu cha kupewa gentleman?πImekuaje kibaka mmempa ubunge kupitia chama chq majambazi?
Matapeli wangepi mmewapa ubunge huko kama baba askofu ni tapeli?kumbe ubunge ni kitu cha kupewa gentleman?π
Hadi Gwajima? ππππUdhalimu haujawahi kumwacha mtu salama nyakati za CCM kupata ushindi kwa njia za ujanja ujanja zipo ukingoni.
CCM wanadhani No reform No election ni agenda ya Lissu kumbe ni watanzania wote. Bila chadema kushiriki uchaguzi tutashuhudia aibu kubwa sana mwaka huu.
Kwa sasa namwona Askofu. Gwajima anavyokuja kasi, naona CCM wakihaha tena ukamataji wa. Lissu haujasaidia lolote na vuguvugu la mabadiliko ya sheria za uchaguzi.
Chadema haifi, Hata kwa tone tone mwitikio wake siyo wa kitoto watu wataibeba chadema mgongoni hadi mwisho maana wana imani kubwa sana na chama hiki.
CCM wasipokubali ukweli wataondolewa madarakani kwa aibu kubwa sana watajutia sarakasi zao za sasa
Ameni
sifahamu,Matapeli wangepi mmewapa ubunge huko kama baba askofu ni tapeli?
Unauliza hirizi Tanga?kumbe ubunge ni kitu cha kupewa gentleman?π
nimekuelewa mganga wa ramli πUnauliza hirizi Tanga?