misasa
JF-Expert Member
- Feb 5, 2014
- 17,894
- 14,783
Kuwe wewe kuweza? Vyama vyote hivyo anakuja cdm mumpokeeHuyo Gwajima kakaa kimya muda wote wa bunge anakula mema ya nchi, leo bunge limefikia ukingoni ndio anaanza drama ili achote wajinga. Aanzishe chama, au ajiunge na chama cha SAU.