Wamemnyamazisha Lissu ameibuka Askofu Gwajima, Naona CCM wakitwanga maji kwenye kinu

kumbe ubunge ni kitu cha kupewa gentleman?🐒
Kwani kura za maoni alipata ngapi? Jimbo kawe.

Wabunge wengi walishinda kwa mbeleko ya mwendazake ie Jimbo la kwanza kutangazwa MATOKEO ilikua Jimbo la HAI.
Yale masunduku ya mdee yenye kura za muruhani aliyo yakamata kawe.

Gwajima vs Samia unagundua gwajima ni brainy kubwa ni narrator mzuri sanaa

NAMKUBALI SANA MAMA SAMIA MAANA NI KAMA MAMA KWANGU ILA WATU WAMEZIDI KUFANYA UCHAWA MPAKA WANAMUHARIBIA.
 
Huyu hayuko kwenye mawindo , hawezi kuitwa ''Gaidi'' acha aropoke .
 
Mungu ibariki chadema
 
sifahamu,
but kibaka na tapeli wa kisiasa ni pamoja na yule ambae ni jambazi wa kupora uhuru na haki za kikatiba kwa mfano kuwapotosha wasiende kupiga kura n.k🐒
Viongozi wa CCM ni vibaka hatari kuliko wezi wa kuku, Mwenyezi Mungu awaangamize.
 
 

Attachments

  • cf0ea736521de32f5d65e1a6b7fd56a4_1743187151179.mp4
    579.6 KB
AMEN. CHADEMA IMO MIOYONI MWA WATU. HAIONDOKI KWA KUMBAMBIKIZIA KESI MWENYEKITI.

BORA KULIKO YOTE NI KUWA MUNGU YUKO PAMOJA NA CHADEMA.
 
Tatizo lq CCM hawasomi upepo yaani ni hivi agenda yoyote itakayoqnzishwa na CDM hiyo inakuwa agenda ya Taifa zima.

NO reform sasa hivi ni mali ya Watanzania
CCM Vilaza sana ..Technology inawaumbua
 
Tatizo ukabila maana alivyoona kabisa lake madarakani akaunga mkono japo alikuwa na mabaya mengi tu. Leo yupo ambaye sio wa kabila lake ndoanaibuka na kupingapinga visivyoeleweka... Shame!!
 
Tatizo ukabila maana alivyoona kabisa lake madarakani akaunga mkono japo alikuwa na mabaya mengi tu. Leo yupo ambaye sio wa kabila lake ndoanaibuka na kupingapinga visivyoeleweka... Shame!!
Hajaanza kupinga/ siasa leo unless kama wewe siyo mfuatiliaji.mzuri. amekuwa moto.kabla ya hata ya Magufuli
 
Mmmh! Huyu si ndiye ayelikuwa mshenga wa Lowassa 2015 akawafanya Chadema wakaingia kwenye mtego?
Huwa nawaza huenda Gwaji ni mtu wa Kitengo! Ametumwa ku play na mind za wanachadema!
Don't trust him! Lengo ni kutuliza joto la No Reform No Election! Bila hivyo Yezebeel anaweza kufa kwa BP!
 
Hapo mmoja sio mroho na anasimamia anachoamini
Na mwingine amekula sana hela zetu na sasa anajifanya kama hakuitwa mara tatu enzi za marehemu
 
Hakuna wa kuiondoa CCM. Waswahili wote ni majasiri wa kwenye keyboard..Mwaka huu CCM ushindi ni 100%
 
Sina imani na Baba askofu sidhani kama anamaanisha. Maana anaurafiki wa karibu na watawala, sidhani kama atakua kinyume chao, na hata ikiwa hivo atapozwa mda si mrefu, natamani angekua anamaanisha.

Gwajima Yuko CCM yuko CHADEMA.

Si unakumbuka LISU alisema alie Cheza kete ya Kumleta Lowasa CHADEMA ni yeye GWAJIMA.

Kwahyo, lolote linaweza kutendeka.

lkn, Mtazamo wangu binafsi GWAJIMA yuko Vizuri Upstairs kiasi Chake kuliko Wengi Huko CCM, Na sijamuona kwenye Magroup ya Vigogo wa CCM kwa sasa.

Ila bado sina Uhakika na Uadilifu wake, Asije kua Dalali kama BASHE
 
Naichukia ccm kama kinyesi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…