Kuwe wewe kuweza? Vyama vyote hivyo anakuja cdm mumpokeeHuyo Gwajima kakaa kimya muda wote wa bunge anakula mema ya nchi, leo bunge limefikia ukingoni ndio anaanza drama ili achote wajinga. Aanzishe chama, au ajiunge na chama cha SAU.
Usimwamini gwajima ameshaonja asali hawezi kukubali kurudi jalalani.Udhalimu haujawahi kumwacha mtu salama nyakati za CCM kupata ushindi kwa njia za ujanja ujanja zipo ukingoni.
CCM wanadhani No reform No election ni agenda ya Lissu kumbe ni watanzania wote. Bila chadema kushiriki uchaguzi tutashuhudia aibu kubwa sana mwaka huu.
Kwa sasa namwona Askofu. Gwajima anavyokuja kasi, naona CCM wakihaha tena ukamataji wa. Lissu haujasaidia lolote na vuguvugu la mabadiliko ya sheria za uchaguzi.
Chadema haifi, Hata kwa tone tone mwitikio wake siyo wa kitoto watu wataibeba chadema mgongoni hadi mwisho maana wana imani kubwa sana na chama hiki.
CCM wasipokubali ukweli wataondolewa madarakani kwa aibu kubwa sana watajutia sarakasi zao za sasa
Ameni
Ee kuna halali na haramu,kwani inategemea nani anayetangaza ili mradi ukimaliza unakwenda kutubu - Nape. Halafu DC wa Longido Serikali ilifanya kazi kwenye mapori pori ...kumbe ubunge ni kitu cha kupewa gentleman?🐒
Hahahaha chura kiziwi elimu yake imejaa mashaka inasemekana sawa na kibajajiFikiria tumempa tapeli mpaka nafasi ya juu kabisa!! Akawatapeli watanzania na 4R, kumbe uwongo mtupu!!
Kwani kasemaje huyo Askofu wenu fake napigaji?Udhalimu haujawahi kumwacha mtu salama nyakati za CCM kupata ushindi kwa njia za ujanja ujanja zipo ukingoni.
CCM wanadhani No reform No election ni agenda ya Lissu kumbe ni watanzania wote. Bila chadema kushiriki uchaguzi tutashuhudia aibu kubwa sana mwaka huu.
Kwa sasa namwona Askofu. Gwajima anavyokuja kasi, naona CCM wakihaha tena ukamataji wa. Lissu haujasaidia lolote na vuguvugu la mabadiliko ya sheria za uchaguzi.
Chadema haifi, Hata kwa tone tone mwitikio wake siyo wa kitoto watu wataibeba chadema mgongoni hadi mwisho maana wana imani kubwa sana na chama hiki.
CCM wasipokubali ukweli wataondolewa madarakani kwa aibu kubwa sana watajutia sarakasi zao za sasa
Ameni
Gwajima Yuko CCM yuko CHADEMA.
Si unakumbuka LISU alisema alie Cheza kete ya Kumleta Lowasa CHADEMA ni yeye GWAJIMA.
Kwahyo, lolote linaweza kutendeka.
lkn, Mtazamo wangu binafsi GWAJIMA yuko Vizuri Upstairs kiasi Chake kuliko Wengi Huko CCM, Na sijamuona kwenye Magroup ya Vigogo wa CCM kwa sasa.
Ila bado sina Uhakika na Uadilifu wake, Asije kua Dalali kama BASHE
Huyu chawa na tapeli asiwahadae.Udhalimu haujawahi kumwacha mtu salama nyakati za CCM kupata ushindi kwa njia za ujanja ujanja zipo ukingoni.
CCM wanadhani No reform No election ni agenda ya Lissu kumbe ni watanzania wote. Bila chadema kushiriki uchaguzi tutashuhudia aibu kubwa sana mwaka huu.
Kwa sasa namwona Askofu. Gwajima anavyokuja kasi, naona CCM wakihaha tena ukamataji wa. Lissu haujasaidia lolote na vuguvugu la mabadiliko ya sheria za uchaguzi.
Chadema haifi, Hata kwa tone tone mwitikio wake siyo wa kitoto watu wataibeba chadema mgongoni hadi mwisho maana wana imani kubwa sana na chama hiki.
CCM wasipokubali ukweli wataondolewa madarakani kwa aibu kubwa sana watajutia sarakasi zao za sasa
Ameni
Hakika kuwa nyumbu ni laana kubwa sana, tayari nyumbu wanaanza kukimbilia kwa gwajima. Aisee
Kamanda, ielewe vizuri saaana sentensi yangu!..Na Ccm ambao Gwajima ni mbunge wao utawaitaje?
Kafanyaje??Udhalimu haujawahi kumwacha mtu salama nyakati za CCM kupata ushindi kwa njia za ujanja ujanja zipo ukingoni.
CCM wanadhani No reform No election ni agenda ya Lissu kumbe ni watanzania wote. Bila chadema kushiriki uchaguzi tutashuhudia aibu kubwa sana mwaka huu.
Kwa sasa namwona Askofu. Gwajima anavyokuja kasi, naona CCM wakihaha tena ukamataji wa. Lissu haujasaidia lolote na vuguvugu la mabadiliko ya sheria za uchaguzi.
Chadema haifi, Hata kwa tone tone mwitikio wake siyo wa kitoto watu wataibeba chadema mgongoni hadi mwisho maana wana imani kubwa sana na chama hiki.
CCM wasipokubali ukweli wataondolewa madarakani kwa aibu kubwa sana watajutia sarakasi zao za sasa
Ameni
Uliona nini mzeeUdhalimu haujawahi kumwacha mtu salama nyakati za CCM kupata ushindi kwa njia za ujanja ujanja zipo ukingoni.
CCM wanadhani No reform No election ni agenda ya Lissu kumbe ni watanzania wote. Bila chadema kushiriki uchaguzi tutashuhudia aibu kubwa sana mwaka huu.
Kwa sasa namwona Askofu. Gwajima anavyokuja kasi, naona CCM wakihaha tena ukamataji wa. Lissu haujasaidia lolote na vuguvugu la mabadiliko ya sheria za uchaguzi.
Chadema haifi, Hata kwa tone tone mwitikio wake siyo wa kitoto watu wataibeba chadema mgongoni hadi mwisho maana wana imani kubwa sana na chama hiki.
CCM wasipokubali ukweli wataondolewa madarakani kwa aibu kubwa sana watajutia sarakasi zao za sasa
Ameni
Subiri movie bado haijaanzaUliona nini mzee
Uko mbali mzeeSubiri movie bado haijaanza
Huyo Gwajima kakaa kimya muda wote wa bunge anakula mema ya nchi, leo bunge limefikia ukingoni ndio anaanza drama ili achote wajinga. Aanzishe chama, au ajiunge na chama cha SAU.
Pamoja na mapungufu yake yote…. Gwajima leo kaongea vizuri sanaUdhalimu haujawahi kumwacha mtu salama nyakati za CCM kupata ushindi kwa njia za ujanja ujanja zipo ukingoni.
CCM wanadhani No reform No election ni agenda ya Lissu kumbe ni watanzania wote. Bila chadema kushiriki uchaguzi tutashuhudia aibu kubwa sana mwaka huu.
Kwa sasa namwona Askofu. Gwajima anavyokuja kasi, naona CCM wakihaha tena ukamataji wa. Lissu haujasaidia lolote na vuguvugu la mabadiliko ya sheria za uchaguzi.
Chadema haifi, Hata kwa tone tone mwitikio wake siyo wa kitoto watu wataibeba chadema mgongoni hadi mwisho maana wana imani kubwa sana na chama hiki.
CCM wasipokubali ukweli wataondolewa madarakani kwa aibu kubwa sana watajutia sarakasi zao za sasa
Ameni
Amemwaga mboga,ugali na maji ya kunawa mjini hakukalikiGwaji boy kafanyaje mjini tena
Udhalimu haujawahi kumwacha mtu salama nyakati za CCM kupata ushindi kwa njia za ujanja ujanja zipo ukingoni.