Wameniingiza kwenye Group la Whatsapp bila mimi kuridhia, nilichowafanyia hawatonsahau

Wameniingiza kwenye Group la Whatsapp bila mimi kuridhia, nilichowafanyia hawatonsahau

Huuu ufwala hu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
group sio nyumba kusema ukiwaondoa wote unabaki na nyumba, wenzio watakuwa washaunda group lingine wana add members wao wanaendelea kurahatupuika!!!!
 
Huwa nachukia sana. Nilishawahi kutukana kumbe alieniadd ni mama mdogo ...walikua wanajadili harusi ya mtu anakuja kufunga ndoa dar.. Uyo ndugu simjui nakuta asubuh sms kama 200 nilitukana hadi kuja kujua ni yeye its to rate
 
NIKIPATA GROUP LA WAUZA TIGO ITAPENDEZA ZAIDI MAANA NTAKUA MTEJA WA KUDUMU NA NITANUNUA KWA KUDEPOSIT HELA NA KUENDELEA KUPEWA HUDUMA.Mwenye namba ya group husika aweke namba au anifuate PM tafadhali
 
Mm niliwekwa kwenye group moja la WhatsApp, nikanya ndani ya kundi,wakaniremove!
Nimesema wakiniadd tena naharisha kabisa au nawatumia sperm members wote!!
 
Utakuwa mtu wa ajabu sana wewe.
Halafu uje ukutwe huko mtaani upigwe kywa wewe mwizi utajisikiaje

Wala usijisifie.. halafu ngono utafikiri kwako ni mwiko..

CV yako umeichafua labda ID iwe si la kweli
 
Dawa nyingine ni ku cleck emoj elfu 10 unasend kwenye hilo group ila stak na kujiua lenyewe
 
Hivi karibuni kumekuwa na katabia cha kuwekana kwenye magroup ya Whatsapp bila kupata ridhaa ya mtu, unaweza ukaamka ukajikuta umewekwa tu kwenye Magroup ya ajabu ajabu bila kuridhia

Sasa kuna jamaa juzi alinitupia kwenye Kagroup flani hivi cha wahuni yani humo wote wanajadili ngono tu 24 hours, ni ngono tu na matusi hawana jipya , Hilo group lilikuwa lina Members kama 290 hivi

Baada ya kuniad nikaingia nikiwapa salamu za kutosha then nikamfwata admin nikamuomba na mimi anipe UADMIN nikimuongopea kuwa kuna wadada warembo nataka niwaad kwenye hilo Group

Baada ya kumuomba siakanipa Uadmin bwana, hahaha[emoji23][emoji23], baada kupata uadmin niliwaremove member wote nikabakia mimi mwenyewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na Group likafa
Kwahiyo sasa hivi wasapu group limit siyo watu 250 tena?
 
Huwa nachukia sana. Nilishawahi kutukana kumbe alieniadd ni mama mdogo ...walikua wanajadili harusi ya mtu anakuja kufunga ndoa dar.. Uyo ndugu simjui nakuta asubuh sms kama 200 nilitukana hadi kuja kujua ni yeye its to rate
Mimi nimekuelewa
 
Yaani ukrya mpaka kwenye lugha za watu mnaharibu maana.
 
Back
Top Bottom