toplemon
JF-Expert Member
- Mar 26, 2017
- 4,612
- 4,721
hahaha mkuu nielekeze plsssMimi niliwatumia kirusi ,wote simu zao zilizima,kuna kirusi kinaitwa odinga,ni noma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahaha mkuu nielekeze plsssMimi niliwatumia kirusi ,wote simu zao zilizima,kuna kirusi kinaitwa odinga,ni noma
[emoji23][emoji23]Naamin ulianza na admin mwenyewe
Kwahiyo sasa hivi wasapu group limit siyo watu 250 tena?Hivi karibuni kumekuwa na katabia cha kuwekana kwenye magroup ya Whatsapp bila kupata ridhaa ya mtu, unaweza ukaamka ukajikuta umewekwa tu kwenye Magroup ya ajabu ajabu bila kuridhia
Sasa kuna jamaa juzi alinitupia kwenye Kagroup flani hivi cha wahuni yani humo wote wanajadili ngono tu 24 hours, ni ngono tu na matusi hawana jipya , Hilo group lilikuwa lina Members kama 290 hivi
Baada ya kuniad nikaingia nikiwapa salamu za kutosha then nikamfwata admin nikamuomba na mimi anipe UADMIN nikimuongopea kuwa kuna wadada warembo nataka niwaad kwenye hilo Group
Baada ya kumuomba siakanipa Uadmin bwana, hahaha[emoji23][emoji23], baada kupata uadmin niliwaremove member wote nikabakia mimi mwenyewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na Group likafa
Na bado alikua anasema ana add wadada wengine pia hahaha asee hatariUkiwa muongo ukumbuke unaowaongopea, eti group lina member 290. MIA MBILI NA TISINI
Mimi nimekuelewaHuwa nachukia sana. Nilishawahi kutukana kumbe alieniadd ni mama mdogo ...walikua wanajadili harusi ya mtu anakuja kufunga ndoa dar.. Uyo ndugu simjui nakuta asubuh sms kama 200 nilitukana hadi kuja kujua ni yeye its to rate
Yaani ukrya mpaka kwenye lugha za watu mnaharibu maana.Huwa nachukia sana. Nilishawahi kutukana kumbe alieniadd ni mama mdogo ...walikua wanajadili harusi ya mtu anakuja kufunga ndoa dar.. Uyo ndugu simjui nakuta asubuh sms kama 200 nilitukana hadi kuja kujua ni yeye its to rate