GE2025 Wamepika matokeo wakati hesabu hawajui, kitawalamba soon

GE2025 Wamepika matokeo wakati hesabu hawajui, kitawalamba soon

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Matokeo ya Uraisi wameyapika na mbaya sana hesabu hawajui. Soon wanaenda kuumbuka, na sisemi wapi watashikwa/ kitawalamba na upishi wao wa kitoto. Hesabu ni sayansi
Huwezi fanya chochote. Katiba inawalinda.. Kwanza tume haishitakiwi duniani hata mbinguni
 
Matokeo ya Uraisi wameyapika na mbaya sana hesabu hawajui. Soon wanaenda kuumbuka, na sisemi wapi watashikwa/ kitawalamba na upishi wao wa kitoto. Hesabu ni sayansi
Do you think they care? The degree of impunity is immeasurable!
 
Shida ni viburi walivyonavyo Hawa jari chochote zaidi ya matumbo yao
 
Back
Top Bottom