Wameru ni wakimbizi wa Kichaga

Tofauti za matabaka ya wachagga na tofauti za wahutu na watutsi ni vitu viwili tofauti sana. Rudi kwenye historia zao.
 
Kwa hiyo Mimi nimeoa mchawi....Astsghafululai !
 
Lakini kama wameru ni wabinafsi basi ni kweli ni limbuko la wachaga kwa sababu hakuna mtu mbinafsi Tanzania kama mchaga. Especially Marangu uwiiiiii tena ukutane na ukoo unaitwa Minja ndio balaa sana
Mpare anaongoza,ubahili mchaga kasingiziwa
 
Watutsi na Wahutu inaweza kuwa mfano mzuri wa Wamaasai(Irmaasai) wa Ngorongoro, Longido na Simanjiro VS Waarusha(Ilarusa) wa Arusha, Arumeru na Monduli. Monduli imechanganya pakubwa ila watu wenye asili ya Arusha na Arumeru ni wengi zaidi.
 
Kwa wasomi wazuri wa makala za wakoloni na waandishi waliofanya tafiti kaskazini mwa Tanzania wanajua kuwa wameru wametokana na makabila matatu ambayo ni wachaga (asilimia kubwa ya wameru), wamasai (baadhi ya koo) na wapare (kwa koo mbili kubwa),Waandishi wa late 1890 na early 1900s walidhani wameru ni ndugu na wasonjo, but linguistic evidence na baadhi tamaduni zinawahusisha na makabila matatu tajwa
 
Lugha zao tofauti mtu wa tarakea asikilizan kabisa na Mtu wa marangu, na mtu wa marangu asikilizan kabisa na Mtu wa uru
 
Mospoota
Maspoota
Mosiboota
Masboota

Zote salaam za Kihaya maana moja
Matamshi tofauti
Wachaga Wana lugha tofauti kabisa kutokana na maeneo Yao hawaendani katika kabila la kihuni wachaga wapo kabila moja haliwez kuwa na lugha zinatofauti vile
 
Wachaga hawasikilizan acha uongo mkibosho kamwe hawez muelewa muold Moshi, au mrombo wa tarakea, acha upotoshaji kaka
 
Wamashami mmbatana kasi ya hoteli fo...

Kwi kulemenlolya mmashami akumba subu neekumba wari efo murin?

Kazi eto gheiya Wakibosho ...

Eli nkindo mmiku akwa aleshiwia kyeri Alesha nla kindo shiketana kumi murin .

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hivi kuna mangi wa kike katika karne ya 16??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…