ISO M.CodD
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 7,845
- 16,942
Soma post #15Kitu gani mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Soma post #15Kitu gani mkuu?
Pole Sana,Asante Kwa shuhuda nilitaka nimtahiri huyu dogo nimeghairi asije kukosa raha za Dunia bure!Mimi nimetahiriwa Hindu Mandal siku moja na kaka yangu, yeye miaka minne mimi mwaka mmoja.
Aisee kuna difference kubwa ya flaccid size.
Mdogo wangu ametahiriwa na miaka saba. Flaccid size kanizidi kitambo.
Sisi wote ni watoto wa baba mmoja mama mmoja. Genetically nakuwaje tofauti nao?
MSINITANIE.
Also sihisi pleasure kwenye blowjob, another effect ya tohara ya mapema.
Sasa nyie semeni tu kirahisi wakati mashuhuda tupo street.
Hiyo Ni normal au kiduchu?Mimi nimetahiriwa 13 years ila 5.6 inches
Average inaanzia 6 inchesHiyo Ni normal au kiduchu?
erect size?😀Mimi nimetahiriwa Hindu Mandal siku moja na kaka yangu, yeye miaka minne mimi mwaka mmoja.
Aisee kuna difference kubwa ya flaccid size.
Mdogo wangu ametahiriwa na miaka saba. Flaccid size kanizidi kitambo.
Sisi wote ni watoto wa baba mmoja mama mmoja. Genetically nakuwaje tofauti nao?
MSINITANIE.
Also sihisi pleasure kwenye blowjob, another effect ya tohara ya mapema.
Sasa nyie semeni tu kirahisi wakati mashuhuda tupo street.
Manani mkuu🤣😂😁😆Umesomea nini mkuu? Ina ukubwa wa mashine unaongezwa na govi? Ndiyo Wasukuma mnadanganyana kukaa na malucas Mwashambwa mpka uzeeni ili msiwe na vibamia?
Ungelijua jinsi dada yako anavyokusimanga kwa uboya wako huo akiwa anapelekewa mto na huyo mzazi mwenzie hata usingeli kuja kuandika utoto wako hapa. Dada yako kazaa na wewe mpaka umkatalie mzazi mwenzie kuhudumia mtoto wake ama unatengeneza mazingira ya kumtoa kafara huyo mtoto?
Mliotahiriwa hospitalini mkiwa watoto mna shida sana. Unaelewa maana ya tohara wewe?Miine ni kakubwa hako halafu acha kuingilia mambo ya dada yako na mzazi mwenzie.
Wewe ni binti, tena wa 2000 halafu wa mjini huwezi kuolewa chochote dada yanguNilidhani una sababu ya msingi ya kukataa kumbe unaongelea atakuwa na kibamia.
Kama umesoma elimu haijakusaidia. Naomba kuwasilisha.
I am not that insecure to measure mkuu, its a grower, ikiamka unaweza usiamini ilikotoka. And very good girth.erect size?😀
girth?
Kama wewe sio mwanaume, halafu mwanaume wa kiafrika hili jambo ni kubwa sana kwako kulielewaKibamia nikama tako kubwa kuna walio nalo na waambao hawana . Hata akitairiwa 18 bado atakuwa tu nakibamia na ninzuri kutahiri mtoto akiwa mdogo atapona haraka. Kingine Yesu alitahiriwa siku 18 baada ya kuzaliwa licha yeye mchumba kabisa
Kibamia hakihusiani na kutahiriwa, ni ishu ya genes na exposure ya mtoto kwenye hormones hasa growth hormones tangu akiwa tumboni kwa mama yake ,haijalishi umemtahiri akiwa mtu mzima au mtoto kama hizo factors hapo juu zimeelemea kwenye kibamia atakuwa na kibamia tu.Huyu mpwa wangu tangu akiwa tumboni mimi ndo nilikuwa nimebeba majukumu ya sista (mtoto wa ma mkubwa) kumlea na kila kitu. Yaani hadi anafika umri huu kila kitu kinachohusiana na mahitaji yake mimi ndo niliyebeba kwa 100% baada ya boya mmoja kukimbia majukumu punde tu alipomwaga tui lake kwa sista.
Mi nikasema sio kesi huyu ni ndugu yangu maana tumekuwa wote pamoja yaani Kuna ile bond kubwa sana kati yetu na watoto wengine wote tuliolelewa pamoja hivyo ikaniwia ngumu Mimi kumtosa hata kama aliyatimba mwenyewe maana ni damu yangu kabisa.
Sasa hapa juzi kati napigiwa simu na sista anaomba nimuongezee hela kidogo kwa ajili ya ngariba na mambo mengine ya matibabu ili wamtahiri maana wameshauriana na baba yake eti mtoto wamtahiri Sasa hivi. Aisee siku hiyo nilichafukwa sista hakuamini nilimtolea mitusi kuanzia yeye hadi bwanake
Ukiachia mbali dharau ambayo bwanake ameionesha kwanza unawezaje kukatahiri katoto ka miaka minne!, govi hata halijakomaa wanataka mpwa wangu aje kuwa kibamia baadaye, nikawaambia wakitaka waujue utaahira wangu wathubutu hata kumchuna huyo dogo hilo govi. Kwahiyo wanataka mjomba angu baadaye asipige yope vizuri akiwa na kizambarau? Nimemwambia aache mapepe asubiri afike angalau darasa la 5 asije akaaibisha ukoo kwa sifa mbovu ya kibamia cha kujitakia.
Mtoto hata kachululuu hakajapata protini, mishipa haijakomaa, steki zenyewe hazina mafuta wala ujazo wa nyama halafu anataka kukitaka kinaniliu kwa rika hili!!?
Aah wee!