Wametaka kumtahiri mpwa wangu wa miaka 4 nimewaletea vagi hilo hawajaamini

Pole Sana,Asante Kwa shuhuda nilitaka nimtahiri huyu dogo nimeghairi asije kukosa raha za Dunia bure!
 
erect size?😀

girth?
 
🚶🏽‍♂️🚶🏽‍♂️🚶🏽‍♂️🚶🏽‍♂️🚶🏽‍♂️🙉🙉🙉🙌🏽
 
Mjomba una makasiriko! 😂
Kuna sehemu nimesema nimemkataza Mimi kuhudumia mwanaye?
Yeye ndo boya tangu mwanzoni angetaka huo uhuru wa kuamua chochote juu ya mwanaye angewajibika tangu awali, ila kufikia Sasa mimi ndo msemaji wa mwisho, nikiamua hiki sitaki ni SITAKI hadi atakapojifunza kuwa baba
 
Miine ni kakubwa hako halafu acha kuingilia mambo ya dada yako na mzazi mwenzie.
Mliotahiriwa hospitalini mkiwa watoto mna shida sana. Unaelewa maana ya tohara wewe?

Halafu wao kama hawakutaka nisiingilie mambo yao wangetimiza majukumu yao kama wazazi kwa mtoto ila kwa kuwa hawakuwa tayari nitawapangia kila kitu hadi wakomae akili na kujua baada ya ngono Kuna malezi na majukumu
 
Nilidhani una sababu ya msingi ya kukataa kumbe unaongelea atakuwa na kibamia.

Kama umesoma elimu haijakusaidia. Naomba kuwasilisha.
Wewe ni binti, tena wa 2000 halafu wa mjini huwezi kuolewa chochote dada yangu

Mimi ni mwanaume wa kiafrika
 
erect size?😀

girth?
I am not that insecure to measure mkuu, its a grower, ikiamka unaweza usiamini ilikotoka. And very good girth.

Also, nadhani flaccid size ndiyo inakuwa affected more. Sijawahi kuwaona my brothers erect so I have no comparison data.

In my opinion:
Tohara ya mtoto mdogo ina affect
1. Flaccid size
2. Erect length - not girth
3. Sensitivity to pleasure

Namba 3 inaweza kuwa advantage... Maana wazungu hawaji kirahisi.
 
Kibamia nikama tako kubwa kuna walio nalo na waambao hawana . Hata akitairiwa 18 bado atakuwa tu nakibamia na ninzuri kutahiri mtoto akiwa mdogo atapona haraka. Kingine Yesu alitahiriwa siku 18 baada ya kuzaliwa licha yeye mchumba kabisa
Kama wewe sio mwanaume, halafu mwanaume wa kiafrika hili jambo ni kubwa sana kwako kulielewa
 
Kutahiri mtoto katika umri mdogo kuna madhara kisaikolojia maana Yale maumivu ya kukatwa kutokana na umri mdogo anakuwa hana uwezo wa kuya control.
 
Kibamia hakihusiani na kutahiriwa, ni ishu ya genes na exposure ya mtoto kwenye hormones hasa growth hormones tangu akiwa tumboni kwa mama yake ,haijalishi umemtahiri akiwa mtu mzima au mtoto kama hizo factors hapo juu zimeelemea kwenye kibamia atakuwa na kibamia tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…