Wametaka kumtahiri mpwa wangu wa miaka 4 nimewaletea vagi hilo hawajaamini

Wametaka kumtahiri mpwa wangu wa miaka 4 nimewaletea vagi hilo hawajaamini

Kibamia nikama tako kubwa kuna walio nalo na waambao hawana . Hata akitairiwa 18 bado atakuwa tu nakibamia na ninzuri kutahiri mtoto akiwa mdogo atapona haraka. Kingine Yesu alitahiriwa siku 18 baada ya kuzaliwa licha yeye mchumba kabisa
acha kuiga mAmbo ya historia mbona yesu alifunga siku arobaini bila kula na hamjawAhi jaribu nenda shakAholA uone kilichotokeA
 
Mimi nimetahiriwa Hindu Mandal siku moja na kaka yangu, yeye miaka minne mimi mwaka mmoja.

Aisee kuna difference kubwa ya flaccid size.

Mdogo wangu ametahiriwa na miaka saba. Flaccid size kanizidi kitambo.

Sisi wote ni watoto wa baba mmoja mama mmoja. Genetically nakuwaje tofauti nao?

MSINITANIE.

Also sihisi pleasure kwenye blowjob, another effect ya tohara ya mapema.

Sasa nyie semeni tu kirahisi wakati mashuhuda tupo street.
Hahahaha
 
Baba mmoja na mama mmoja lakini mwingine anakuwa mrefu zaidi au mnene zaidi.
Haya mambo hayako hivyo.
Jiamini tu mkuu, umeumbwa hivyo.
 
Baba mmoja na mama mmoja lakini mwingine anakuwa mrefu zaidi au mnene zaidi.
Haya mambo hayako hivyo.
Jiamini tu mkuu, umeumbwa hivyo.
Does it look like sijiamini?

Mimi nimewaambia personal experience as mtu niliyetahiriwa mapema katika familia ya wanaume watatu. Na andiko langu linahusu flaccid size sio erect size.

Hivi kama mimi nilitahiriwa na 1yr old kwanini walisubiri mdogo wangu niliyemzidi 7 years akafikisha miaka almost 7 ndio wamtahiri?
 
Hayo chini ndiyo majibu yaliyotolewa na DeepSeek AI assistant:

The question of whether early circumcision affects penile size (erect or flaccid) has been examined in medical research, and here's a concise summary of the evidence and reasoning:

1. *Genetic and Hormonal Factors*: Penile size is primarily determined by genetics and hormonal influences during puberty, not by the presence or absence of foreskin. There is no biological mechanism by which circumcision would alter the growth of erectile tissue (corpora cavernosa) or hormonal pathways.

2. Studies on Penile Size:
Research, including studies published in peer-reviewed journals like The Journal of Urology, has found no significant difference in erect or flaccid penile length between circumcised and uncircumcised individuals. For example, a 2013 study comparing adult men found no statistical difference in size after controlling for variables like age and ethnicity.

3. Appearance vs. Actual Size: When flaccid, circumcised penises may appear slightly longer due to the absence of foreskin covering the glans, but this is a matter of perception rather than actual tissue growth.

4. Complications and Scarring: Rare complications (e.g., infection, excessive scarring) could theoretically restrict growth, but these are uncommon in properly performed procedures. Standard circumcision does not damage underlying structures responsible for penile development.

5. Skin Elasticity:
While circumcision removes some penile skin, the remaining skin typically adapts during growth. Tightness in flaccid states does not limit erectile expansion, as erection depends on blood flow to erectile tissues, not skin elasticity.

Conclusion:
Current evidence suggests that early circumcision does not affect the ultimate size of the penis, either erect or flaccid. Concerns about size differences are likely unfounded unless rare complications occur. Always consult a healthcare provider for personalized medical advice.
 
Does it look like sijiamini?

Mimi nimewaambia personal experience as mtu niliyetahiriwa mapema katika familia ya wanaume watatu. Na andiko langu linahusu flaccid size sio erect size.

Hivi kama mimi nilitahiriwa na 1yr old kwanini walisubiri mdogo wangu niliyemzidi 7 years akafikisha miaka almost 7 ndio wamtahiri?
Unaposema hau furahii vizuri blowjob unatumia reference kipimo gani kulinganisha na waliochelewa kutahiriwa?
Unajuaje kwamba ungepata hisia tofauti kama ungecheleweshwa tohara au ungejisikia sawa na Sasa?
Hapo ndipo lilipikuja wazo la kujiamini kwako. Don't take it offensive, I never meant to hurt your feeling.
 
Unaposema hau furahii vizuri blowjob unatumia reference kipimo gani kulinganisha na waliochelewa kutahiriwa?
Unajuaje kwamba ungepata hisia tofauti kama ungecheleweshwa tohara au ungejisikia sawa na Sasa?
Naambiwa na wanawake. They suck dicks, they know how a man should feel, and I don't.
 
Naambiwa na wanawake. They suck dicks, they know how a man should feel, and I don't.
Huenda upo na shida nyingine haitokani na early circumcision.
Labda tusema tohara imesababisha huenda ulichelewa kupona au ulifanyiwa vibaya tohara ukapata kovu kubwa lililo changia kuleta tatizo la ukuaji manhood yako, na pia kupungua hisia.
Watoto wadogo inakuwa ngumu kujitunza jeraha kwa usafi au michezo.

Sema kwa Sasa hapa Bongo hasa Dar kuna teknolojia ya Marekani kuna ring wanavalisha, unaruhusiwa kumvalisha nguo na diapers siku hiyo hiyo ya tohara, anaoga na kupaka dawa daily.
Ikidondoka ring na jeraha limepona. Just 1 week mtoto kapona.
 
Huenda upo na shida nyingine haitokani na early circumcision.
Labda tusema tohara imesababisha huenda ulichelewa kupona au ulifanyiwa vibaya tohara ukapata kovu kubwa lililo changia kuleta tatizo la ukuaji manhood yako, na pia kupungua hisia.
Watoto wadogo inakuwa ngumu kujifunza jeraha kwa usafi au michezo.

Sema kwa Sasa hapa Bongo hasa Dar kuna teknolojia ya Marekani kuna ring wanavalisha, unaruhusiwa kumvalisha nguo na diapers siku hiyo hiyo ya tohara, anaoga na kupaka dawa daily.
Ikidondoka ring na jeraha limepona. Just 1 week mtoto kapona.
Now you are talking... Hapa hata mtu anayesoma anaanza kupata picha
 
🤣🤣🤣 Uachage kukurupuka , eti umeandika kwa maana ambayo siwezi kung'amua 🤣🤣 mkuu hebu jibu maswali yangu kwanza tafadhali Andrology, urology na reproductive endocrinology hazinipi shida nipo vizuri mno maeneo hayo so usipate shida nasubiri majibu yako.
Hebu niambie majibu gani unataka
 
Back
Top Bottom