Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Broo utafikira hadi utaumiza kichwa tu.Sema kuna kitu hua kinanishangaza sana kuhusu wanawake. Yani jamaa anamkimbia baada ya kumpa mimba alafu akizaa bado anakomaa kumpa jina la mwisho la jamaa aliyemkimbia.
Tuanze na wewe mwenyewe, je kiwango chako cha usafi kipoje?Mtoto hata kachululuu hakajapata protini, mishipa haijakomaa, steki zenyewe hazina mafuta wala ujazo wa nyama halafu anataka kukitaka kinaniliu kwa rika hili!!?
wewe ni boya tu...utamkatazaje mwanaume (Shemeji yako aliyemkaza dada yako mpaka akapata mtoto unayeringa naye) mwezio asihudumie mwanawe?.Mjomba una makasiriko! 😂
Kuna sehemu nimesema nimemkataza Mimi kuhudumia mwanaye?
Yeye ndo boya tangu mwanzoni angetaka huo uhuru wa kuamua chochote juu ya mwanaye angewajibika tangu awali, ila kufikia Sasa mimi ndo msemaji wa mwisho, nikiamua hiki sitaki ni SITAKI hadi atakapojifunza kuwa baba
Jiandae kulea mtoto wapili sahivi maelewano yangu na dada yako yako vizuri tunaongeza mtoto ili umlee na huyoOf course it's something that I'm proud of.
Kule mtoto wa mjinga fulani it's a heroic steps and I'm so so satisfied with that
Maswali yako hayana mantikiNimekuuliza maswali machache sana nahitaji majibu mkuu ili nijue kama unajua ulichoandika au ulikurupuka tu tafadhali naomba majibu.
Kwa hiyo watoto watahiriwe umri gani??I am not that insecure to measure mkuu, its a grower, ikiamka unaweza usiamini ilikotoka. And very good girth.
Also, nadhani flaccid size ndiyo inakuwa affected more. Sijawahi kuwaona my brothers erect so I have no comparison data.
In my opinion:
Tohara ya mtoto mdogo ina affect
1. Flaccid size
2. Erect length - not girth
3. Sensitivity to pleasure
Namba 3 inaweza kuwa advantage... Maana wazungu hawaji kirahisi.
It's not about maumbile it's about collagen as you mentionedJifunze tofauti ya Grower and shower penis.
Kuna watu wanakuwa na uume mfupi wakiwa haujasimama ila unaongezeka urefu sana pindi unaposimama.(Grower penis)
Kuna wengine uume ukiwa umesimama na ukiwa umedinda huwa haun tofauti kubwa ya urefu. (Shower penis)
Ukubwa wa uume unatokana na kiwango cha collagen ndani ya uume.
Ni suala la kimaumbile , tupo tuliotahiriwa siku ya 40 na tuna miguu ya watoto chini.