Wametaka kumtahiri mpwa wangu wa miaka 4 nimewaletea vagi hilo hawajaamini

Attachments

  • Screenshot_20250130-154430.png
    Screenshot_20250130-154430.png
    94.2 KB · Views: 2
Unaishi wapi na familia yenu inaitwa familia ya nani? Nimeona juhudi zako za malezi bora kwa watoto wa Dada yako nataka nije nimpe mimba dada yako mwingine unisaidie kulea
Karibu sana kumpa mimba dada yangu ila hakikisha wewe ni mwanaume kweli kweli mwenye vinasaba vyote vya kiafrika ila ukiwa na mentality ya mimi kukulelea hakika nitakulelea wala usijali mdogo wangu ila kuwa tayari tu kulipa gharana ambazo boya mwenzako huku anazipitia
😂
 
Huyu mpwa wangu tangu akiwa tumboni mimi ndo nilikuwa nimebeba majukumu ya sista (mtoto wa ma mkubwa) kumlea na kila kitu. Yaani hadi anafika umri huu kila kitu kinachohusiana na mahitaji yake mimi ndo niliyebeba kwa 100% baada ya boya mmoja kukimbia majukumu punde tu alipomwaga tui lake kwa sista.

Mi nikasema sio kesi huyu ni ndugu yangu maana tumekuwa wote pamoja yaani Kuna ile bond kubwa sana kati yetu na watoto wengine wote tuliolelewa pamoja hivyo ikaniwia ngumu Mimi kumtosa hata kama aliyatimba mwenyewe maana ni damu yangu kabisa.

Sasa hapa juzi kati napigiwa simu na sista anaomba nimuongezee hela kidogo kwa ajili ya ngariba na mambo mengine ya matibabu ili wamtahiri maana wameshauriana na baba yake eti mtoto wamtahiri Sasa hivi. Aisee siku hiyo nilichafukwa sista hakuamini nilimtolea mitusi kuanzia yeye hadi bwanake

Ukiachia mbali dharau ambayo bwanake ameionesha kwanza unawezaje kukatahiri katoto ka miaka minne!, govi hata halijakomaa wanataka mpwa wangu aje kuwa kibamia baadaye, nikawaambia wakitaka waujue utaahira wangu wathubutu hata kumchuna huyo dogo hilo govi. Kwahiyo wanataka mjomba angu baadaye asipige yope vizuri akiwa na kizambarau? Nimemwambia aache mapepe asubiri afike angalau darasa la 5 asije akaaibisha ukoo kwa sifa mbovu ya kibamia cha kujitakia.

Mtoto hata kachululuu hakajapata protini, mishipa haijakomaa, steki zenyewe hazina mafuta wala ujazo wa nyama halafu anataka kukitaka kinaniliu kwa rika hili!!?

Aah wee!
Mimi nilimtahiri akiwa na mwezi 1.
 
Mwache akatwe ilo govi, au unataka akupe unga upike ugali?
 
Mkuu watoto wanatahairiwa wakiwa na siku kadhaa na mtoto anapona haraka. Acha wamtahiri ila wamtahiri hospitali week tu ashapona.
Kuhusu la kubeba majukumu mkuu piga ua garagaza uwe tayari kupokea hayo ya baba mzazi kuja kuroll na mwanae. Nakwambia hiki kwa experience. Mimi yamenikuta baba mzazi toka mwanaye ameanza shule hta mia hajawahi kutoa na sasa hivi mtoto yuko la 3 tena EMs, lakini anavyong'ang'ania mtoto kutoka naye sometimes.
Nilichoamua mimi ni kutenda wema nikaenda zangu na wala mimi na yeye hatujawahi kuzungumza sina namba yake ya simu hana namba yangu kama wanatibuana wanatibuana na mzazi mwenzake.
Mimi nafanya yote kwa sababu nina love na hako kabinti kanakoniita uncle maana nimekuwa karibu nako toka kadogo. Akikua akaamua kwenda kwa baba yake none of my business and by the way kuna muda kanachukuliwaga kanaenda. Comments zangu huwa nabaki nazo mwenyewe ila kwa sasa naona hata wakikambia kanaenda kwa baba yake kanataka hata kulia maana hawana bond wanaweza wasionane mwaka mzima. But mwisho wa siku yule ni baba yake at some point lazima tu watakuwa pamoja haijalishi ulitoa mamilioni.
Mimi sina expectations maana expectations is the root of many heart attacks. Tenda wema ukitegemea no return.
Hata Mimi sina expectations zozote toka kwa mtoto, mdogo wangu wa kike au bwanake mi ninafanya mind game tu na kuwaonesha how a parent should behave

I don't have any clue with them but currently I know what I'm doing and I don't need anyone's suggestions or advice as long as I'm responsible with my nephew's child support

I'm final say
 
Mdogo wangu inabidi uniambie kabila lako, ukoo wako, na kama una uelewa wowote na tamaduni za kibantu

Lakini Kuna watu mnajifanya wajuaji humu ilhali hata majina ya ukoo hamna

Sasa mtu unaitwa Ibrahim Musa Rashid utakuwa na uelewa gani kuhusu jando!!?
Wewe bado mdogo sana kwenye hii tasnia
Mwanaume hawi jasiri kwasababu ya kuchelewa kutahiriwa anakua jasiri kutokana na malezi anayopata mimi nimetahiriwa ndani ya siku 40 tu mazingira ya hatari niliyoweza ku survive nikikusimulia unaweza kudhani ni filam na utajiuliza imewezekanaje, na kuna jamaa katahiriwa tulivyomaliza darasa la 7 ila sahivi ni mlamba lips tu maana kalelewa kila kitu anafanyiwa na ni muoga muoga sana
 
Huyu mpwa wangu tangu akiwa tumboni mimi ndo nilikuwa nimebeba majukumu ya sista (mtoto wa ma mkubwa) kumlea na kila kitu. Yaani hadi anafika umri huu kila kitu kinachohusiana na mahitaji yake mimi ndo niliyebeba kwa 100% baada ya boya mmoja kukimbia majukumu punde tu alipomwaga tui lake kwa sista.

Mi nikasema sio kesi huyu ni ndugu yangu maana tumekuwa wote pamoja yaani Kuna ile bond kubwa sana kati yetu na watoto wengine wote tuliolelewa pamoja hivyo ikaniwia ngumu Mimi kumtosa hata kama aliyatimba mwenyewe maana ni damu yangu kabisa.

Sasa hapa juzi kati napigiwa simu na sista anaomba nimuongezee hela kidogo kwa ajili ya ngariba na mambo mengine ya matibabu ili wamtahiri maana wameshauriana na baba yake eti mtoto wamtahiri Sasa hivi. Aisee siku hiyo nilichafukwa sista hakuamini nilimtolea mitusi kuanzia yeye hadi bwanake

Ukiachia mbali dharau ambayo bwanake ameionesha kwanza unawezaje kukatahiri katoto ka miaka minne!, govi hata halijakomaa wanataka mpwa wangu aje kuwa kibamia baadaye, nikawaambia wakitaka waujue utaahira wangu wathubutu hata kumchuna huyo dogo hilo govi. Kwahiyo wanataka mjomba angu baadaye asipige yope vizuri akiwa na kizambarau? Nimemwambia aache mapepe asubiri afike angalau darasa la 5 asije akaaibisha ukoo kwa sifa mbovu ya kibamia cha kujitakia.

Mtoto hata kachululuu hakajapata protini, mishipa haijakomaa, steki zenyewe hazina mafuta wala ujazo wa nyama halafu anataka kukitaka kinaniliu kwa rika hili!!?

Aah wee!
Uzinzi tu
 
😂😂😂 nimesoma nikabaki nacheka tu unajua umeandika UJINGA? anyway

1. What lymp juices?

2. Unajua glans ni nini?

3. Na kama prepuce inachochea ukuaji wa glans nilitaraji isi affect length ya whole penis but the size of glans pekee.

4. What nutrients supports the growth of glans ?

🤣🤣 yaani nimeandika huku nacheka aisee ukaamua kutumia kimalkia kumbe umeandika UNGA ANYWAYS NASUBIRI MAJIBU🤣🤣🤣
Unacheka kwa sababu hauna hoja ya kusapoti unachokitetea zaidi ya kuangalia mapungufu ili upate hoja ya kujibizana

Kwa kifupi wajinga mna ujasiri sana
😆😆😆😆
 
Mdogo wangu inabidi uniambie kabila lako, ukoo wako, na kama una uelewa wowote na tamaduni za kibantu

Lakini Kuna watu mnajifanya wajuaji humu ilhali hata majina ya ukoo hamna

Sasa mtu unaitwa Ibrahim Musa Rashid utakuwa na uelewa gani kuhusu jando!!?
Wewe bado mdogo sana kwenye hii tasnia
Sawa mi ni mdogo lakini mi ndo nimempa mimba huyo Dada yako unaemsaidia kulea
 
Unacheka kwa sababu hauna hoja ya kusapoti unachokitetea zaidi ya kuangalia mapungufu ili upate hoja ya kujibizana

Kwa kifupi wajinga mna ujasiri sana
😆😆😆😆
Nimekuuliza maswali machache sana nahitaji majibu mkuu ili nijue kama unajua ulichoandika au ulikurupuka tu tafadhali naomba majibu.
 
Kama maumivu ni kipimo cha uanaume basi tuna safari ndefu sana kama nchi
Sio kama nchi
Wewe binafsi una safari ndefu sana ya kujitambua na kufahama alama ambazo wahenga wako waliziweka
Una safari ndefu sana ya kufahama thamani yako kama mwanaume wa kiafrika
Una safari ndefu sana ya kuamini kuwa wewe hustahili kuwa na substantial standards za maisha mbali na zile sa kigeni
Una safari ndefu sana za kuamini Kuna mambo hata sisi ni superior bila kujilinganisha na miiko ya wengine
Kwa kifupi ukitoa rangi ya ngozi yako you are nothing as an African
 
Wanakatairi mapema hivyo wanakaandaa kaanze kuwapiga miti chekechea wenzake wa kike? Pamoja na hii pumba yangu nasema ni mapema kukatahiri mimi govi nimeliondoa form 2 japo shule ya msingi nilipata sana shida
Lakini naamini jengelele lako Lina haiba ya kiume haswa
 
Tunajifunza Kwa waliotutangulia ktk Maarifa.
Yes this is what I want to depict to my nephew, we as a clan have our own attitude, custom and norms which we believe in and they deliver to us.
We learned from our elders as youlu said that's why I'm so responsible with this case
We are not Hebrews
We are bantus, subSaharans
 
Back
Top Bottom