Wametaka kumtahiri mpwa wangu wa miaka 4 nimewaletea vagi hilo hawajaamini

Wametaka kumtahiri mpwa wangu wa miaka 4 nimewaletea vagi hilo hawajaamini

Huwa mnakaguana wanafamilia??
Are you a single child?

Watoto wa jinsia moja huwa tunashare bedroom, hivyo muda wa kuoga na kubadili nguo utaona tu maumbile ya mwenzio every once in a while.

We si msichana? Nyie si huwa mkiwa chumbani na dada zenu mnakuwa uchi wa mnyama na mnarelax? Ina maana huoni sista wako akikuzidi mat1t1?

Kama wewe ni mtoto wa pekee na hujawahi kukaa boarding ndio unapaswa kuuliza hili swali.

Au ulimaanisha kukaguana kuvuta ruler na kupimana?
 
Wanakatairi mapema hivyo wanakaandaa kaanze kuwapiga miti chekechea wenzake wa kike? Pamoja na hii pumba yangu nasema ni mapema kukatahiri mimi govi nimeliondoa form 2 japo shule ya msingi nilipata sana shida
 
Mwanaume hawi jasiri kwasababu ya kuchelewa kutahiriwa anakua jasiri kutokana na malezi anayopata mimi nimetahiriwa ndani ya siku 40 tu mazingira ya hatari niliyoweza ku survive nikikusimulia unaweza kudhani ni filam na utajiuliza imewezekanaje, na kuna jamaa katahiriwa tulivyomaliza darasa la 7 ila sahivi ni mlamba lips tu maana kalelewa kila kitu anafanyiwa na ni muoga muoga sana

Kuna ujasiri wa sifa na ujasiri wa asili ya mtu kujitambua kama mwanaume .
Ujasiri wa Sifa hata wanawake wanao.

Hao wa siku tano ujasiri wao ni wa sifa na mara nyingi ni ujasiri wa kugombania wanawake na hata kuuana . Huo sio ujasiri ni kujionyesha . Ujasiri ni uwezo wa kuhimili mihamko na uvumilivu na utulivu kunapoku na jambo linalohitaji kutulia .

Ndio maana wanaume wa siku hizi wanalia lia kama watoto
 
Watoto wangu nimewatoa govi wakiwa darasa 7, wakat wa jando manesi wenyewe walikuwa wanashangaa mtoto wa darasa 7 ana paipu kubwa.... Nyie wazaz wa sikuhizi mnadhan kutahiri mtoto akiwa mdogo ni fashion au sifa... Hamjiulizi kwanin zaman watu walitahiriwa wakiwa na akili zao timamu au mnadhan hawakuweza kutahiri mtoto akiwa mdogo...?
Hamjiulizi kwanin wazungu wana mboo ndogo ila waafrika wengi wana mboo kubwa ndefu..? Si mnaona jinsi wanawake wa kizungu wanavyopenda kutombwa na wanaume wa kiafrika..?
Nyie endeleeni kuiga wazungu kutahiri mtoto hata kitovu hakijakomaa...
Mimi mwenyewe niltahiliwa nikiwa na miaka 14.
 
Huyu mpwa wangu tangu akiwa tumboni mimi ndo nilikuwa nimebeba majukumu ya sista (mtoto wa ma mkubwa) kumlea na kila kitu. Yaani hadi anafika umri huu kila kitu kinachohusiana na mahitaji yake mimi ndo niliyebeba kwa 100% baada ya boya mmoja kukimbia majukumu punde tu alipomwaga tui lake kwa sista.

Mi nikasema sio kesi huyu ni ndugu yangu maana tumekuwa wote pamoja yaani Kuna ile bond kubwa sana kati yetu na watoto wengine wote tuliolelewa pamoja hivyo ikaniwia ngumu Mimi kumtosa hata kama aliyatimba mwenyewe maana ni damu yangu kabisa.

Sasa hapa juzi kati napigiwa simu na sista anaomba nimuongezee hela kidogo kwa ajili ya ngariba na mambo mengine ya matibabu ili wamtahiri maana wameshauriana na baba yake eti mtoto wamtahiri Sasa hivi. Aisee siku hiyo nilichafukwa sista hakuamini nilimtolea mitusi kuanzia yeye hadi bwanake

Ukiachia mbali dharau ambayo bwanake ameionesha kwanza unawezaje kukatahiri katoto ka miaka minne!, govi hata halijakomaa wanataka mpwa wangu aje kuwa kibamia baadaye, nikawaambia wakitaka waujue utaahira wangu wathubutu hata kumchuna huyo dogo hilo govi. Kwahiyo wanataka mjomba angu baadaye asipige yope vizuri akiwa na kizambarau? Nimemwambia aache mapepe asubiri afike angalau darasa la 5 asije akaaibisha ukoo kwa sifa mbovu ya kibamia cha kujitakia.

Mtoto hata kachululuu hakajapata protini, mishipa haijakomaa, steki zenyewe hazina mafuta wala ujazo wa nyama halafu anataka kukitaka kinaniliu kwa rika hili!!?

Aah wee!
Umri wa kutahiri ni umri wa miaka mingapi?
 
Kibamia nikama tako kubwa kuna walio nalo na waambao hawana . Hata akitairiwa 18 bado atakuwa tu nakibamia na ninzuri kutahiri mtoto akiwa mdogo atapona haraka. Kingine Yesu alitahiriwa siku 18 baada ya kuzaliwa licha yeye mchumba kabisa
SweetyCandy hujataka hata mleta mada ajitetee ushampa rungu la kichwa
 
Screenshot_20250130-143726_1.jpg
Screenshot_20250130-143726_1.jpg

Google hiyo kitu mkuu utaamini Ile usemi wa watu Wangu wanakufa kwa kukosa maarifa
 
Sijataka kuchukua nafasi, wao ndo wameitelekeza wakiitaka watawajibika ila kwa sasa Mimi ndo mlumendagu
Hata ufanyeje, huwezi kuchukua nafasi ya shemeji yako kwa sistako.

Kwa sasa mambo yao yametengemaa, tegemea kusikia hii methali; MBUZI NA NG'OMBE NI WAMOJA, MTU KANDO NI KONDOO!

Jiulize kati yenu watatu ni nani kondoo!
 
Huyu mpwa wangu tangu akiwa tumboni mimi ndo nilikuwa nimebeba majukumu ya sista (mtoto wa ma mkubwa) kumlea na kila kitu. Yaani hadi anafika umri huu kila kitu kinachohusiana na mahitaji yake mimi ndo niliyebeba kwa 100% baada ya boya mmoja kukimbia majukumu punde tu alipomwaga tui lake kwa sista.

Mi nikasema sio kesi huyu ni ndugu yangu maana tumekuwa wote pamoja yaani Kuna ile bond kubwa sana kati yetu na watoto wengine wote tuliolelewa pamoja hivyo ikaniwia ngumu Mimi kumtosa hata kama aliyatimba mwenyewe maana ni damu yangu kabisa.

Sasa hapa juzi kati napigiwa simu na sista anaomba nimuongezee hela kidogo kwa ajili ya ngariba na mambo mengine ya matibabu ili wamtahiri maana wameshauriana na baba yake eti mtoto wamtahiri Sasa hivi. Aisee siku hiyo nilichafukwa sista hakuamini nilimtolea mitusi kuanzia yeye hadi bwanake

Ukiachia mbali dharau ambayo bwanake ameionesha kwanza unawezaje kukatahiri katoto ka miaka minne!, govi hata halijakomaa wanataka mpwa wangu aje kuwa kibamia baadaye, nikawaambia wakitaka waujue utaahira wangu wathubutu hata kumchuna huyo dogo hilo govi. Kwahiyo wanataka mjomba angu baadaye asipige yope vizuri akiwa na kizambarau? Nimemwambia aache mapepe asubiri afike angalau darasa la 5 asije akaaibisha ukoo kwa sifa mbovu ya kibamia cha kujitakia.

Mtoto hata kachululuu hakajapata protini, mishipa haijakomaa, steki zenyewe hazina mafuta wala ujazo wa nyama halafu anataka kukitaka kinaniliu kwa rika hili!!?

Aah wee!
Pengine ana digrii huyu!
 
Kama ni mmasai sawa naona wamasai wengi wanachelewesha sana kutahir watoto

Kwenye kibamia acha Iman potofu[emoji51]
 
Kibamia nikama tako kubwa kuna walio nalo na waambao hawana . Hata akitairiwa 18 bado atakuwa tu nakibamia na ninzuri kutahiri mtoto akiwa mdogo atapona haraka. Kingine Yesu alitahiriwa siku 18 baada ya kuzaliwa licha yeye mchumba kabisa
Sio tu 18yrs yaan hata asipotahir maisha yake yote kama ni ndogo baaaaasss ni ndogo tu
 
Back
Top Bottom