Wametaka kumtahiri mpwa wangu wa miaka 4 nimewaletea vagi hilo hawajaamini

Wametaka kumtahiri mpwa wangu wa miaka 4 nimewaletea vagi hilo hawajaamini

Kala yangu alitahiriwa akiwa na miaka 12

Ndio maana wanaume wa siku hizi ni legelege na wanawake ni jasiri kwa sababu ya maumivu wanayopata wakati wa kujifungua .Kuna wafanya wanawake kuwa jasiri na wanaume ujasiri wao ni wakati wa kutahiriwa . Tena zamani ilikua ni bila ganzi
 
Jembe langu lina 1 year na 2 month naona lina chululu kubwa kama baba yake hapa nimesha mwambia wife amna kulitahiri hadi likue kue 🍆
 
Hiyo Ni normal au kiduchu?
Hiyo ndiyo wastani mzuri wa mwanaume yeyote maana kuanzia inchi 6 ndo hapo unaanza kutambia watu ila yeye anazo kasoro point 4 tu afike 6 za mandingo angetahiriwa utotoni angekuwa na 3.8
 
Kibamia nikama tako kubwa kuna walio nalo na waambao hawana . Hata akitairiwa 18 bado atakuwa tu nakibamia na ninzuri kutahiri mtoto akiwa mdogo atapona haraka. Kingine Yesu alitahiriwa siku 18 baada ya kuzaliwa licha yeye mchumba kabisa
Mashine yake alitumia wapi? Walijuwa hana matumizi nayo!
 
Kibamia hakihusiani na kutahiriwa, ni ishu ya genes na exposure ya mtoto kwenye hormones hasa growth hormones tangu akiwa tumboni kwa mama yake ,haijalishi umemtahiri akiwa mtu mzima au mtoto kama hizo factors hapo juu zimeelemea kwenye kibamia atakuwa na kibamia tu.
Kuna uhusiano mkubwa sana kati ya ukuaji wa shaft, prepuce na glans
Shaft hubeba nutrients kutoka sehemu zingine za mwili kupitia blood vessels na lymp juices pind inaposimama hasa asubuhi ndo hiyo mechanism hufanyika regularly. Na hizi nutrients destination yake huwa kwenye prepuce na glans. Prepuce inapokuwa huchochea glans kuwa hivyo hutegemeana. Uondoshwaji wa prepuce mapema katika rika dogo huifanya glans ipate very limited nutrients kutoka kwenye prepuce hivyo ukuaji huwa taratibu sana
 
Kibamia hakihusiani na kutahiriwa, ni ishu ya genes na exposure ya mtoto kwenye hormones hasa growth hormones tangu akiwa tumboni kwa mama yake ,haijalishi umemtahiri akiwa mtu mzima au mtoto kama hizo factors hapo juu zimeelemea kwenye kibamia atakuwa na kibamia tu.
Kuna uhusiano mkubwa sana kati ya ukuaji wa shaft, prepuce na glans
Shaft hubeba nutrients kutoka sehemu zingine za mwili kupitia blood vessels na lymp juices pind inaposimama hasa asubuhi ndo hiyo mechanism hufanyika regularly. Na hizi nutrients destination yake huwa kwenye prepuce na glans. Prepuce inapokuwa huchochea glans kuwa hivyo hutegemeana. Uondoshwaji wa prepuce mapema katika rika dogo huifanya glans ipate very limited nutrients kutoka kwenye prepuce hivyo ukuaji huwa taratibu
 
Wewe mwamba nakuona karibuni utanuniwa na huyo sista wako, wanawake akili zao wanazijua wenyewe.

Mwamba kazalisha wewe unalea yeye anatoa amri na mama anataka kufanya alichosema baba mtoto.

Nakwambia tena ondoka kwenye shughuli isio kuhusu hio
Nachokifanya nakijua mzee wala mi sio mjinga, nasubiri sana huo muda atakaojichanganya aninunie ili nipate sababu ya kumsusa mazima. Mimi Nina utu natimiza sehemu tu uanadamu wangu, akizingua ndo nipata sababu ya kuvuja kwa pakacha
 
Makinda alikuwa Speaker wa Bunge lkn makinda ya ndege yakiota manyoya kwenye mbawa tu huyaoni tena. Wewe unaacha kufanya mambo yako ya msingi unaanza kuangaika na mtoto usiyekuwa na undugu naye?

Mpunguzie dada yako majukumu ili awe huru aende kwa shemeji yako ajazwe tena ili uendelee kuwa msemaji wa mwisho zaidi na zaidi.
Ninachokifanya ninakifanya na hakuna wa kunipangia
📌🔨
 
Wakwangu atatahiriwa akiwa na miaka 12 ili aende secondary akaniletee wajukuu
Ukoo wetu wote tumetahiriwa kuanzia miaka 9 na kuendelea chini ya uangalizi wa wanaume haswa, wajomba, baba wadogo au wakubwa. Hata kama unaishi mjini utapelekwa ndichi ili ukafanyiwe tohara. Kuna vingi sana unapewa kama urithi toka kwa wanaume waliokomaa. Jando ni zaidi ya kuondoa govi na Kuna mafunzo ya kiume yapo mengi sana ambayo hadi leo yamenisaidia kuyaishi
 
Nimeona kabila moja Uganda wanaitwa wagisu wanatairi vijana Wana mwaka wao kama mwaka Jana kuanzia mwezi wa 8 mpaka dec31 mwisho mnasubiri mpaka 2026 tena ndo wanaanza nilienda kuangalia aisee Wanamizigo wanakatwa bila ganzi yaani kijana anakuwa na ujasiri haswa mjomba komaa wasimkate dogo mapema
Nakubali
Wakitaka waishi wanavyotaka na mtoto wao watudishe gharama za malezi nilizotumia tangu nyuma
 
Back
Top Bottom