Wametumwa kubomoa miundombinu yetu?

Wametumwa kubomoa miundombinu yetu?

We mhandisi sio poa!
Wapi unaweka super elevation kwenye traffic intersections?
Superelevation ni kwenye one-way traffic.
Gari ilikuwa inatoka Buguruni kuelekea gongo la mboto, ilikata Kona Kali 90 degree upo hapo
 
Gari ilikuwa inatoka buguruni kuelekea gongo la mboto, ilikata Kona Kali 90 degree upo hapo
Mkuu somo la Traffic Engineering in practice:
-Hakuna intersection ya 90 degrees
-Kuna mandatory speed limits uki approch intersection na ni 30-50kph
-Pale Tazara kuna traffic robots, zikikuruhusu haina maana unakamua ujuzi wako wote wa maspidi
-Pale Tazara kuna finished slopes za lami, kazi yake kubwa ni water drainage
-Mbaya zaidi, intersection mtu unai approach kwa akili, si magari tu yanayoitumia hiyo intersection. Kuna pedestrians, bodaboda, rickshaws n.k.
 
Mkuu somo la Traffic Engineering in practice:
-hakuna intersection ya 90 degrees
-kuna mandatory speed limits uki approch intersection na ni 30-50kph
-pale tazara kuna traffic robots, zikikuruhusu haina maana unakamua ujuzi wako wote wa maspidi
-pale Tazara kuna finished slopes za lami, kazi yake kubwa ni water drainage
-mbaya zaidi, intersection mtu unai approach kwa akili, si magari tu yanayoitumia hiyo intersection. Kuna pedestrians, bodaboda, rickshaws n.k.
Nimekuelewa ila unaweka siasa, ila ninachosema Makosa yote mawili yapo!! For proper designs safe speed inatakiwa kuwa 39.5kph, ila ndio maana nimesema center of gravity ya Gari husika inaweza kuwa imehama kulingana na Mazingira, (watu kusimama) pia elewa 90 degree ni kama unatoka west na unalazimika kwenda south or North ile turn unayofanya ni 90 degree, na kilichofanyika hapo ni hicho!! Smooth corner or Sharp corner is not the case!! Sasa ninachotaka kusema hiyo superelevation Inaboresha speed hadi kufikia 60kph kulingana na aina ya Gari na Mazingira husika!!

Go More practical and consider proper design, Kuna eneo mitaa ya Msambiazi kama unatoka Moshi kila mara Magari yanaanguka hasa malori, hata ukiwa na Gari ndogo unajisikia Sio huru!! Ile ni poor design and poorly Constructed!!
 
Mkuu somo la Traffic Engineering in practice:
-hakuna intersection ya 90 degrees
-kuna mandatory speed limits uki approch intersection na ni 30-50kph
-pale tazara kuna traffic robots, zikikuruhusu haina maana unakamua ujuzi wako wote wa maspidi
-pale Tazara kuna finished slopes za lami, kazi yake kubwa ni water drainage
-mbaya zaidi, intersection mtu unai approach kwa akili, si magari tu yanayoitumia hiyo intersection. Kuna pedestrians, bodaboda, rickshaws n.k.
Kwa haraka haraka hiyo daladala unafikiria iliweza kufikia speed ya 30kph!? Hivyo tatizo lipo, na ndio nikasema dereva anaangukia Kwenye lack of experience na Kwa wataalamu poorly designed
 
Kwa haraka haraka hiyo daladala unafikiria iliweza kufikia speed ya 30kph!? Hivyo tatizo lipo, na ndio nikasema dereva anaangukia Kwenye lack of experience na Kwa wataalamu poorly designed
Anaeza kuwa alikua 60kph kabisa watu wakitokea buguruni taa zikiruhusu pale zikianza kuhesabu afu kuwe na gap yan mbele kweupe kiasi raia wanafunguka balaaa wakushavuka daraja la SGR ile mtu anatia mguu wote kwny pedal kuwah taaa.,
Wa Goms kona wanalala nayo shaaa....[emoji1787][emoji1787]
 
Kwa haraka haraka hiyo daladala unafikiria iliweza kufikia speed ya 30kph!? Hivyo tatizo lipo, na ndio nikasema dereva anaangukia Kwenye lack of experience na Kwa wataalamu poorly designed
Mkuu tunaweza kubishana hadi majogoo!
Hapo ajali has nothing to do with design.
Kama ingekuwa design basi ajali ingetokea hapo hapo kila siku au mara mbili/tatu kwa wiki.
Design faults siyo kwa singke occurance.
Hapo tatizo ni tabia za notorious drivers, na kwamba ni daladala hilo halihitaji maelezo mengi.
Note, gari ni jipya T6**DYQ, gari bado jipya, dereva kakamua na likamshinda.
 
Nitapata shida sana kukuelewesha mapungufu ya kitaalamu yaliyopo na ndio maana unaona miji yetu hasa Dar es Salaam inapanuka bila mpangilio Kwa sababu wataalamu wamejiwekeza kwenye ubishi!! Nimekupa mfano WA barabara ya Dar to Moshi katika Kona zote za Msambiazi Kuna sehemu ina fault in design kama unatoka Moshi mwanzoni TU na ni kama curve ya 30 Degree TU na ajali pale ni nyingi!! Ila Tanroads wamekwenda kureplace side barrier!! Lakini hawajafanya utafiti, ajali ikitokea tunakimbilia kusema uzembe WA dereva!! Ndio maana nimetoa sababu mbili, uzembe WA dereva sikuuacha!! Uwe na siku njema
 
Upo uwezekano Kwa asilimia kadhaa Mambo ya kitaramu yanachangia, Ilaa Kwa asilia 90 baadhi ya madereva ni useless. Hawafahamu wanachokifanya barabarani, mfano dereva anakaguliwa leseni au vyeti ikiwa hizo documents MTU anaweza akazipata within two days au one day.

Kikubwa swala ajali barabarani ni kweli Mwenyezi Mungu anaweza akapanga .ila wahusika ni lazima mketi mje na plani b ili ajali zipungue Kwa mfano, ukimchukuwa MTU Kwa kutumia vyet na mwingine Kwa kutumia udhoefu katka kaz hawa watu NI wawili tofauti hata utendaji kazi wao upo tofauti.ni hayo tuuu
 
Nitapata shida sana kukuelewesha mapungufu ya kitaalamu yaliyopo na ndio maana unaona miji yetu hasa dar es salaam inapanuka bilampangilio Kwa sababu wataalamu wamejiwekeza kwenye ubishi!! Nimekupa mfano WA barabara ya Dar to Moshi katika Kona zote za Msambiazi Kuna sehemu ina fault in design kama unatoka Moshi mwanzoni TU na ni kama curve ya 30 Degree TU na ajali pale ni nyingi!! Ila Tanroads wamekwenda kureplace side barrier!! Lakini hawajafanya utafiti, ajali ikitokea tunakimbilia kusema uzembe WA dereva!! Ndio maana nimetoa sababu mbili, uzembe WA dereva sikuuacha!! Uwe na siku njema
Uwezi wako wa kitaalam ni mdogo sana na pengine fani umeidandia bila kujua unaelekea wapi.
Uliposema awali kuwa unasuperelevete kwenye intersection nikajua tu hapa tuna kifaranga katika fani.
Kwa taarifa yako sehemu hiyo ilikuwa designed na kujengwa na makampuni ya kijapani.
Nenda sehemu hiyo tena ujionee mwenyewe na kama kuna tatizo uliloliona hapo piga picha na bandika hapa mtandaini.
 
Kikijengwa na mzungu ndio unaona sawa!? Just nikuonee huruma mtaalamu Kanjanja, Wachina bila aibu wanatengeneza substandard roads na kila sehemu zimejaa na bado unatetea ukanjanja! Pole sana, unakumbuka before ujenzi WA mwendokasi kilwa road ilikuwa imejengwa na Japanese, comment ubora WA barabara tuliyopata!! Usikariri
 
Hujajibu hoja.
Na kwa taarifa yako sub contract ya kujenga hiyo barabara hapo Tazara ni mswahili wa hapahapa bongo.
Mbaya i kubishana na kutu usichokijua.
 
Hujajibu hoja.
Na kwa taarifa yako sub contract ya kujenga hiyo barabara hapo Tazara ni mswahili wa hapahapa bongo.
Mbaya i kubishana na kutu usichokijua.
Nakijua sana ndugu, Kwanza pitia centrifugal force na centripetal force na Tyre friction ndio tuelekezane superelevation inavyofanya kazi!! Zaidi ya hapo mute!!!
 
Nakijua sana ndugu, Kwanza pitia centrifugal force na centripetal force na Tyre friction ndio tuelekezane superelevation inavyofanya kazi!! Zaidi ya hapo mute!!!
Pole mwanafunzi, kua kwanza.
 
Route ya Chanika - Gerezani hao madereva wanajifanya wakali wa danta, ni mwendo wa kukimbizana tu
 
Back
Top Bottom