Wamiliki wa BMW Shikamooni

Huu uzi umezidi nishawishi kuja kumiliki chuma kamili cha mjerumani, napambana sana nimiliki hii ndinga ya kuitwa BMW.
sizijui sana in detail lakini ni moja ya magari yaliyotulia sana niliendesha mara chache X5 na E39 mpaka leo hii sijawai endesha gari iliyotulia kama BMW .
Nikiona BMW huwa nafurahi sana naitizama zaidi ya mara moja najisemea one day yes acha nikomae kwanza na wajapani.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Huu uzi umejaa matambo tu.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kila mtu anajikuna mkono unapofika na ana haki kufurahia chake.

Na hakuna mwenye haki ya kuponda gari za kijapan wkt wote wanao endedha(bimmer/toyota) wanaendesha magari ya kizamani tupu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…