Wamiliki wa BMW Shikamooni

Wamiliki wa BMW Shikamooni

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kumbe umeendesha?!! Aisee hongera...nilipewaga lift kwenye Mercedes Benz bana bana, mapicha picha yakaanzia kwenye kufungua mlango tu
 
Kama carina tu na muonekano bora Gx110
Sijui kwanini hii BMW naona kama tax tu...labda ile iliyobinuka nyuma kama ya Diamond platinum na wengi wenye pesa siwaoi wakinunua aina nyengine tofauti na ile ila hizi zingine sijui X5, 3 nk kama tax tu.

Portfolio | 2020
 
Ukiendesha gari nzuri ya mtu ukirudi kweny yako unaona kinyaaa, nina kibaby walker flani siku nikaendesha Nissan xtrail Ile narudi kwangu kama Nipo kwenye kigoda jikoni [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂😂😂😂😂
 
Tunaomiliki Noah za urithi tunacomenti wapi? Hahaa
Ila dunia haipo fear,mwaka Jana niliiona BMW X7 dar,alikuwa anaendesha binti mkaliiii mitaa ya magomeni

Sent using Jamii Forums mobile app
Unakuta ni Mkulungwa tu kaamua kumpumzisha mtoto ndani ya chuma kamili. Anachomiliki mtoto ni sura nzuri shepu na taco tu 😂😂😂
 
Huwa tunawaangalia tu wanaosema bei yake ni milioni kadhaa tu. Kununua na kuihudumia ni mbingu na ardhi.
Hahahah hapo ndipo shughuli ilipo...Unaweza kumiliki Beamer ila je una uwezo wa kushindana na kuzizima zile checklights ubaoni!? Ukitia pua kwa 255Jerry kutia ule mtambo wake na kukuchekia ishu na kubadilisha kifaa na kuzima hizo taa unajikuta umeacha karo ya mtoto gereji.

Ni baada ya hili swali ndio wangazija tunakimbiliaga kwenye ist,spacio, Crown,Harrier ama Vanguard!
 
Tatizo sio kuumiliki,tatizo kuuweka barabarani kila siku,wanasema kuwa namba moja si tatizo,tatizo kubaki namba moja,hiyo kitu ikianza kuwasha zile taa za faults utashangaa kuzi clear hela ya passo inakutoka,salute kwenu wenye hizo gari barabarani na mfungao vioo!!!!.
Pongezi kwao, sio rahisi kuzizima zile checklights kila mara mvua kali inaponyesha mjini. Unaweza jikuta kwa mwaka umemaliza karo ya watoto wako wawili kwa kushindana na taa za dashboard tu.
 
Tatizo ni gari,kama benzi yapo over engineered sana yaani gari kama computer.
Gari unakuta mpaka authorized dealer kalishindwa sasa utasemaje mafundi.
Hizo gari nikupe siri yake ingine ni kuwa toka kiwandani zimeundwa ziwe prone to kashikashi zozote za uendeshaji. Na hili ni baada ya muda wa uangalizi wa kampuni husika kwa wanaozinunua 0 kms. Inakaa miaka miwili tu bila kusumbua na ikisumbua huwa wanarekebisha wao, ule muda wa marekebisho ndani ya warranty ukiisha ndipo mmiliki atakunya mavi!!!

Yani zina allergy na matatizo madogo madogo ambayo yote yatakulazimu uende kwa dealer. Kwa dealer ukilipa hela za matengenezo kuna % inarudi kwa kampuni. Lengo hasa ni kupukutisha mfuko wa mnunuaji maana wanaamini ni gari zinazonunuliwa na watu wenye hadhi flani.
 
2015-bmw-2-series-228i-coupe-track-handling-package-09.jpg
 
Kwa experience yangu ya kua fundi wa european cars hasahasa(bmw,benz). Bmw ni magari mazuri sana yakiwa mapya lakini ukipata used litakusumbua sana kwa service kutokana kuharibika haribika.

German cars are overengineered hivo tatizo dogo tu linazingua gari.wengi wanaweza ku afford kununua ila sio kulitunza.

Mtu anaemiliki german car ambalo linatembea barabarani mpe heshima yake maaana linamcost
Hat mie mwenye vw transporter old school nahitaji hiyo heshima?
 
Leo nimena moja imeteketea pale nyerere road karibu na Airport na wadau wanadai jana ilikuwa kwa fundi umeme.
 
Back
Top Bottom