Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siku ukikaa kwenye Benz brand new utakuja jiona ulikuwa fala miaka yote iliopita.Sisi nyani wazee tulio kuzwa na chuma za kijapan, sisi wazee wa pori na misitu minene huwa hatuna hofu na vijana wanao zunguka na vigari vyao vya mjerumani kwenda kwenye ofisi zao na shopping, sisi tunajari wanyama ambao tukiwa kwenye mihangaiko ya kibabe inaendana na ubabe wetu!? Niwakumbushe tu hakuna wa kibattle na machine za kijapan hawa wajeruman wakitengeneza gari tu lazima walinganishe na machine za kazi kutoka pale Japan, kama hujawahi kulala jungle don't reply on this on jungle men ndo wanatakiwa kunena hapa.
Ilinitokea nikabadilisha engine oil ikapoteaWamiliki na wataalamu wa BMW hii warning light inasababishwa na nini, howbto fix?? View attachment 1573473
Simple logic: kama aliweza nunua brand new, hatashindwa kununua brand new tena baada ya km 60,000 au miaka minne.Nilichojifumza kuhusu German cars hapa South Africa ni hiki,,usimiliki BMW, Benz au Audi ambayo imeisha warranty itakutesa sana. Rafiki yangu anamiliki corolla 2015 nilimsindikiza kwenye Kia dealership mwezi uliopita kufika pale tukakuta Benz, Bima Na Audi kibao mpaka tukauliza vpi? Mnauza na gari za kijerumani? Sales person akajibu hapana...
Tatizo bongo wengi hatuna uwezo wa kununua hizo Merc, BMW's au Audi mpya kwani ushuru wake tu sio mchezo. Mtu anaagiza BMW ya 2005-2010 anatarajia nini?Simple logic: kama aliweza nunua brand new, hatashindwa kununua brand new tena baada ya km 60,000 au miaka minne.
Kwahiyo ukiwa tajiri, tayari kuna priviledge ya kununua gari yeyote brand new.
Gari yeyote ni matunzo, kuna benz zinafikisha miaka 20 zipo barabarani na kuna toyota zina miaka mitatu zipo juu ya mawe.
Simple logic: kama aliweza nunua brand new, hatashindwa kununua brand new tena baada ya km 60,000 au miaka minne.
Kwahiyo ukiwa tajiri, tayari kuna priviledge ya kununua gari yeyote brand new.
Gari yeyote ni matunzo, kuna benz zinafikisha miaka 20 zipo barabarani na kuna toyota zina miaka mitatu zipo juu ya mawe.
Na kwa wasiojua LS ndio ilikua game changer hawa Bmw/Mercedes wote kidogo waondolewe barabarani na by 1991 LS ndio alikua best seller wa Luxury Sedan huko US huku mauzo ya mercedes yaki-drop by 20% huku Bmw wao wakiwa na hali mbaya zaidi mauzo yao yali-drop kwa 30%.Sio bei ghali kwa sababu zina depriciate haraka sana kuliko Toyota/Lexus of that same class. Mfano BMW 7 series ya 2004 unaweza nunua beforward mpaka dola elf 4 wakati Lexus LS 500 ya 2004 sio chini ya dola elf 12000. Ukinunua hiyo BMW gereji itakua nyumbani wakati LS haitakusumbua kabisa.
Logic yangu ipo hivi;Then kwanini hao matajiri wakienda kwny dealership wana trade-in kwa Toyota/Honda badala ya kwenda kununua benz/mercedes ya 0Km tena.
Kuna jamaa ana Merc GLS brand new alinunua 2018. Sahivi anataka aka-upgrade na GLS ya 2020 kabla warranty haijaisha.Tatizo bongo wengi hatuna uwezo wa kununua hizo Merc, BMW's au Audi mpya kwani ushuru wake tu sio mchezo. Mtu anaagiza BMW ya 2005-2010 anatarajia nini?
Duh aisee wakati wengi wetu hiyo hela ya GLS TDI hatutaweza kuishika maisha yetu yote[emoji29][emoji29][emoji29]Kuna jamaa ana Merc GLS brand new alinunua 2018. Sahivi anataka aka-upgrade na GLS ya 2020 kabla warranty haijaisha.
Nadhani hata ukiwa tajiri mkubwa hutapenda kumiliki gari ambayo mara kwa mara inashinda workshop . Kuwa under warranty most of the time ni motor na gearbox ndiyo wanakufanyia service free of charge,,matatizo mengine ya sensors na breakdown nyingine utatoa hela mfukoni.Logic yangu ipo hivi;
Kama mtu aliweza nunua Merc brand new, ukapewa na warranty, muda wa warranty nyingi ni miaka mitatu au km 60,000...
Ilimradi bado u hai & una nguvu ya kutafuta hakuna kinachoshindikana bossDuh aisee wakati wengi wetu hiyo hela ya GLS TDI hatutaweza kuishika maisha yetu yote[emoji29][emoji29][emoji29]
Kwanza tajiri ana gari zaidi ya hata 3.Nadhani hata ukiwa tajiri mkubwa hutapenda kumiliki gari ambayo mara kwa mara inashinda workshop . Kuwa under warranty most of the time ni motor na gearbox ndiyo wanakufanyia service free of charge,,matatizo mengine ya sensors na breakdown nyingine utatoa hela mfukoni.
Nyumba ushapaua?We jamaa ulinifanyaga nikavunja account nikavuta BMW dah Sasa napewa heshima zisizo zangu mitaani huku mwenyewe nikijijua zohofu hali
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii chumvi umeiongeza sana. Kwaiyo wanaomiliki brand tofauti na benz hawana akili timamu?!!. Ndio mana ulipewa kisago heavy na Alex Mahone then ukatupwa baharini😀😀BMW ni afadhali kiasi fulani
Mercedec Benz ipo higher end zaidi
Katika normal competitors models Mercedes Benz ni twice ya bei ya BMW kwenye same bracket!
BMW ni even fairer zaidi wanatumia middle class,Mercedes Benz ni even lethal price range wise!
Benz imeizunguka BMW mara mbili kwa sophistication na bei!
Benz huzioni sana third world countries maana wenye akili timamu na hela serious ndio wanazo,na ni middle and far aged rich males ndio wanazo na wanajua urefu wake!
Aisee 😂Hii chumvi umeiongeza sana. Kwaiyo wanaomiliki brand tofauti na benz hawana akili timamu?!!. Ndio mana ulipewa kisago heavy na Alex Mahone then ukatupwa baharini😀😀
Bei ya models zinazo fanana zikiwa mpya ni sawa tu,S class,7 series,A8 MSRP ni USD 100000 mpya japo BMW's zina depriciate faster kuliko Benz na Audi.Mahone one on one haniambii kitu.....Donnie Self ndie alienishika tena kiujanja ndio akamuita Mahone alipe kisasi,tena baada ya kukuta nimeshapigwa sana na mikono na miguu nishafungwa...
Otherwise kama ni one on one hakuna mtu ananiambia kitu,pande la mtu mamaeee..na nipo serious na kazi,sirembi kabisa....
Watu wanaoendesha Benz sio watu wa kiseng3 ndugu yangu.....Bei ya Benz ni mara mbili ya BMW counter part wake wa the same rival model...thats a FACT mzee!
Nimesema "hawana akili timamu" kama lugha ya picha sio kwamba ni kweli....nilimaanisha mkwanja wao ni mdogo compared na ule wa Benz owners....
Sio kila kitu unakichukulia literally!
Bei ni almost sawa. Kama wakizidi basi benz anazidi kama 5% ya actual price.Mahone one on one haniambii kitu.....Donnie Self ndie alienishika tena kiujanja ndio akamuita Mahone alipe kisasi,tena baada ya kukuta nimeshapigwa sana na mikono na miguu nishafungwa...
Otherwise kama ni one on one hakuna mtu ananiambia kitu,pande la mtu mamaeee..na nipo serious na kazi,sirembi kabisa....
Watu wanaoendesha Benz sio watu wa kiseng3 ndugu yangu.....Bei ya Benz ni mara mbili ya BMW counter part wake wa the same rival model...thats a FACT mzee!
Nimesema "hawana akili timamu" kama lugha ya picha sio kwamba ni kweli....nilimaanisha mkwanja wao ni mdogo compared na ule wa Benz owners....
Sio kila kitu unakichukulia literally!
Benzi is more of being premium and classic kulinganisha na BMW.Kwenye resale market values Benz ni twice ya BMW...
Kwenye mpya bei ni almost the same japo Benz ipo juu kidogo..
Sisi Watanzania tupo kwenye resale au second hand market,ma-reseller wote wa Japan,check bei zao,ni twice!