[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kumbe umeendesha?!! Aisee hongera...nilipewaga lift kwenye Mercedes Benz bana bana, mapicha picha yakaanzia kwenye kufungua mlango tu
Ulidhan yangu[emoji1787][emoji1787]! Nimeosha nayo tu ..limenipendezaa...mwe
Mkuu mbona hii ni gari ya kawaida saana? Hata wewe unaeza imiliki kwa Mil 14-20 unapata huyu mnyama.!
jeep ni myama pia,inakaribia levo hizo za akina bm na akina audi,
Sema akina ist na tu vitz ndo tusubiri kwanza nje kikao kiishe
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijui kwanini hii BMW naona kama tax tu...labda ile iliyobinuka nyuma kama ya Diamond platinum na wengi wenye pesa siwaoi wakinunua aina nyengine tofauti na ile ila hizi zingine sijui X5, 3 nk kama tax tu.
Portfolio | 2020
πππππππUkiendesha gari nzuri ya mtu ukirudi kweny yako unaona kinyaaa, nina kibaby walker flani siku nikaendesha Nissan xtrail Ile narudi kwangu kama Nipo kwenye kigoda jikoni [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
hahahah fala ww πππUkiendesha gari nzuri ya mtu ukirudi kweny yako unaona kinyaaa, nina kibaby walker flani siku nikaendesha Nissan xtrail Ile narudi kwangu kama Nipo kwenye kigoda jikoni [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unakuta ni Mkulungwa tu kaamua kumpumzisha mtoto ndani ya chuma kamili. Anachomiliki mtoto ni sura nzuri shepu na taco tu πππTunaomiliki Noah za urithi tunacomenti wapi? Hahaa
Ila dunia haipo fear,mwaka Jana niliiona BMW X7 dar,alikuwa anaendesha binti mkaliiii mitaa ya magomeni
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahah hapo ndipo shughuli ilipo...Unaweza kumiliki Beamer ila je una uwezo wa kushindana na kuzizima zile checklights ubaoni!? Ukitia pua kwa 255Jerry kutia ule mtambo wake na kukuchekia ishu na kubadilisha kifaa na kuzima hizo taa unajikuta umeacha karo ya mtoto gereji.Huwa tunawaangalia tu wanaosema bei yake ni milioni kadhaa tu. Kununua na kuihudumia ni mbingu na ardhi.
Pongezi kwao, sio rahisi kuzizima zile checklights kila mara mvua kali inaponyesha mjini. Unaweza jikuta kwa mwaka umemaliza karo ya watoto wako wawili kwa kushindana na taa za dashboard tu.Tatizo sio kuumiliki,tatizo kuuweka barabarani kila siku,wanasema kuwa namba moja si tatizo,tatizo kubaki namba moja,hiyo kitu ikianza kuwasha zile taa za faults utashangaa kuzi clear hela ya passo inakutoka,salute kwenu wenye hizo gari barabarani na mfungao vioo!!!!.
Hizo gari nikupe siri yake ingine ni kuwa toka kiwandani zimeundwa ziwe prone to kashikashi zozote za uendeshaji. Na hili ni baada ya muda wa uangalizi wa kampuni husika kwa wanaozinunua 0 kms. Inakaa miaka miwili tu bila kusumbua na ikisumbua huwa wanarekebisha wao, ule muda wa marekebisho ndani ya warranty ukiisha ndipo mmiliki atakunya mavi!!!Tatizo ni gari,kama benzi yapo over engineered sana yaani gari kama computer.
Gari unakuta mpaka authorized dealer kalishindwa sasa utasemaje mafundi.
October Man himself[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Ila nitajaribu kuchukua BMW X6 nione maana gari nayotumia sasahivi sana ni Range Discover napenda gari zinazobinuka kalio nyuma nitacheki mwezi wa sita nichukue X6 niteat.
Portfolio | 2020
Portfolio | 2020
Mkuuu member wa JF mambo yao ni kama Bongo Movie ya akina Steve Nyerere na Wema yamejaa maigizo kwa 100%October Man himself[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Mnipe msaada wa Mawazo/Mtaji/Kazi/Connection chini pagumu aisee.
π‘π‘π‘October Man himself[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Mnipe msaada wa Mawazo/Mtaji/Kazi/Connection chini pagumu aisee.
Mimi na wewe ni wapambanaji haswa na inshaAllah ipo siku mkeka utatiki[emoji109][emoji109]π‘π‘π‘
Hat mie mwenye vw transporter old school nahitaji hiyo heshima?Kwa experience yangu ya kua fundi wa european cars hasahasa(bmw,benz). Bmw ni magari mazuri sana yakiwa mapya lakini ukipata used litakusumbua sana kwa service kutokana kuharibika haribika.
German cars are overengineered hivo tatizo dogo tu linazingua gari.wengi wanaweza ku afford kununua ila sio kulitunza.
Mtu anaemiliki german car ambalo linatembea barabarani mpe heshima yake maaana linamcost