Wamiliki wa BMW Shikamooni

Siku ukikaa kwenye Benz brand new utakuja jiona ulikuwa fala miaka yote iliopita.

Hizo LC hazina utofauti na kukaa kwenye tractor.
 
Simple logic: kama aliweza nunua brand new, hatashindwa kununua brand new tena baada ya km 60,000 au miaka minne.

Kwahiyo ukiwa tajiri, tayari kuna priviledge ya kununua gari yeyote brand new.

Gari yeyote ni matunzo, kuna benz zinafikisha miaka 20 zipo barabarani na kuna toyota zina miaka mitatu zipo juu ya mawe.
 
Tatizo bongo wengi hatuna uwezo wa kununua hizo Merc, BMW's au Audi mpya kwani ushuru wake tu sio mchezo. Mtu anaagiza BMW ya 2005-2010 anatarajia nini?
 

Then kwanini hao matajiri wakienda kwny dealership wana trade-in kwa Toyota/Honda badala ya kwenda kununua benz/mercedes ya 0Km tena.
 
Na kwa wasiojua LS ndio ilikua game changer hawa Bmw/Mercedes wote kidogo waondolewe barabarani na by 1991 LS ndio alikua best seller wa Luxury Sedan huko US huku mauzo ya mercedes yaki-drop by 20% huku Bmw wao wakiwa na hali mbaya zaidi mauzo yao yali-drop kwa 30%.
 
Then kwanini hao matajiri wakienda kwny dealership wana trade-in kwa Toyota/Honda badala ya kwenda kununua benz/mercedes ya 0Km tena.
Logic yangu ipo hivi;

Kama mtu aliweza nunua Merc brand new, ukapewa na warranty, muda wa warranty nyingi ni miaka mitatu au km 60,000.

Ndani ya hiyo miaka mitatu, Merc watakuwa wameshatoa model mpya zaidi, unashindwa nini kwenda ku-upgrade hilo gari lako ukapata model mpya zaidi na warranty mpya?

Ishu ninayoiona ni hii, wengi wanaenda kununua magari yalioisha warranty, yatawashinda kuyahudumia ndo anakimbilia kubadili na Toyota.

Ila mtu mwenye warranty, hashindwi kwenda ku-upgrade model ya mwaka unaofuatia aendelee kuenjoy warranty.
 
Tatizo bongo wengi hatuna uwezo wa kununua hizo Merc, BMW's au Audi mpya kwani ushuru wake tu sio mchezo. Mtu anaagiza BMW ya 2005-2010 anatarajia nini?
Kuna jamaa ana Merc GLS brand new alinunua 2018. Sahivi anataka aka-upgrade na GLS ya 2020 kabla warranty haijaisha.
 
Kuna jamaa ana Merc GLS brand new alinunua 2018. Sahivi anataka aka-upgrade na GLS ya 2020 kabla warranty haijaisha.
Duh aisee wakati wengi wetu hiyo hela ya GLS TDI hatutaweza kuishika maisha yetu yote[emoji29][emoji29][emoji29]
 
Logic yangu ipo hivi;

Kama mtu aliweza nunua Merc brand new, ukapewa na warranty, muda wa warranty nyingi ni miaka mitatu au km 60,000...
Nadhani hata ukiwa tajiri mkubwa hutapenda kumiliki gari ambayo mara kwa mara inashinda workshop . Kuwa under warranty most of the time ni motor na gearbox ndiyo wanakufanyia service free of charge,,matatizo mengine ya sensors na breakdown nyingine utatoa hela mfukoni.
 
Duh aisee wakati wengi wetu hiyo hela ya GLS TDI hatutaweza kuishika maisha yetu yote[emoji29][emoji29][emoji29]
Ilimradi bado u hai & una nguvu ya kutafuta hakuna kinachoshindikana boss
 
Kwanza tajiri ana gari zaidi ya hata 3.

Moja kushinda workshop sio mbaya.

Ila zile warranty zina-cover pakubwa sana.

Ni bora ukawa nayo hata ukila mzinga utapata favor flani kama ni mteja wao wa kila siku.
 
Hii chumvi umeiongeza sana. Kwaiyo wanaomiliki brand tofauti na benz hawana akili timamu?!!. Ndio mana ulipewa kisago heavy na Alex Mahone then ukatupwa baharini😀😀
 
Bei ya models zinazo fanana zikiwa mpya ni sawa tu,S class,7 series,A8 MSRP ni USD 100000 mpya japo BMW's zina depriciate faster kuliko Benz na Audi.
 
Bei ni almost sawa. Kama wakizidi basi benz anazidi kama 5% ya actual price.

Kingine benz ana models nyingi sana kuliko BMW. Kuna models ambazo zipo benz ila bmw hazipo.
 
Kwenye resale market values Benz ni twice ya BMW...

Kwenye mpya bei ni almost the same japo Benz ipo juu kidogo..

Sisi Watanzania tupo kwenye resale au second hand market,ma-reseller wote wa Japan,check bei zao,ni twice!
Benzi is more of being premium and classic kulinganisha na BMW.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…