Wamiliki wa BMW Shikamooni


Mimi nilikuwa na bimmer 325ci 2004 model nilikaa nayo miaka 3 nikapata mshobokea ma bmw nikamuachia nalo nikarudi zangu toyota,na lilishamsinda amelipark kwake tu,hakua mtu wa preventive maintainance.

So nikisema ni money pit machines naelewa vzr,bongo hapa ni watu wachache sana utakuta nyumbani kwake anamiliki bmw/audi/mercedes only na usikute anamiliki gari ya Toyota hata 1 haiwezekani kabisaa sababu reliability huko Toyota ndio baba lao.
 
Kitu chochote kizuri kina gharama kukimiliki na kukitunza! Mfano: mke mzuri, nyumba nzuri, shule nzuri, kuishi mitaa mizuri, n.k. Mimi pamoja na gharama ya kuzumiliki hizi gari najisikia comfortable nikiwa barabarani kila mtu anapay attention na nikienda mahali nikapaki atakaye kuja kupaki karibu yangu lazima apaki kwa adabu na kuniachia nafasi ya kutosha nikitaka kutoka. Huwezi kuta mtu kapaki BMW/Benz alafu mtu akaja kupaki nyuma yako!
 

Hahah unaongelea bmw/benz gani hio?Maana hayo yote uliyoyasema sikuwahi kuya experience mzee baba.
 
Sijui kwanini hii BMW naona kama tax tu...labda ile iliyobinuka nyuma kama ya Diamond platinum na wengi wenye pesa siwaoi wakinunua aina nyengine tofauti na ile ila hizi zingine sijui X5, 3 nk kama tax tu.

Portfolio | 2020
Omba ukae kwa usukani mzee baba.gari zitooo...lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…