Wamiliki wa BMW Shikamooni

BMW uzuri wake uimara na kutulia barabarani lakini hazina finishing ya kuvutia, hata ndani ukianzia dashboard, viti na maeneo mengine hazikamatiii brevis...

Ila ukiwa unaiendesha inavyotulia kwa barabara na ile kuchanganya mwendo upesi ndio mzuka wenyewe.

Hii ni kwa uzoefu wangu wa 320i
 


Sure...mie mwenyewe nimejikuta naheshimika tu bila sababu za msingi! Ukiona mtu kapaki kibabe huyo sio yake wala hana gari
 
Wakati huo huko nchi zilizoendelea wanawaona watu wanaoendesha BMW Kama loser fulani HV.
Angalia comments
 
Ni kweli kulinunua ni rahisi sana ila runing cost zake si mchezo kabisa. Kila kitu chake ni ghali sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…