Wamiliki wa BMW Shikamooni

In short we call them money pit as they age..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi ukiwa mwalimu wa secondary unaweza kumiliki hivi vitu au inabidi ukimbie mtaani kusaka mapema kuna walimu nawaona hata Vits hawana wala IST.

Portfolio | 2020
 
Kulikuwa na jamaa mmoja anaitwa Regumalira, mmoja Kati ya wale wezi wa Bilioni za kiTanzania 1.2 waliokamatwa, moja Kati ya mahari aliyofanikiwa kuyanunua na kiyamiliki japo kwa wiki moja tu ni BMW, hakika naye alipata heshima huko Mbagala.
 
Sisi wa Spacio huwa tunapaki pembeni kuwaacha wapite kwanza ndio tuendelee na safari. Na mtoto akikuuliza kwanini tumesimama unamwambia "Shiiiii,,,kaa kimya BMW inapita"... [emoji23][emoji23][emoji23],,,kidding

Sent using Jamii Forums mobile app


Unajikuta mpole ghafla😅😅...hatari sana..
 
*TANGAZO* .

kama una rafiki yako ametokea Moshi na Gari *BMW white namba T223 DPU*

Majina
1. Mohammed Laseko(CRDB)
2. Dorine Mitimingi(CRDB)
3. Ainess

Walikuwa wanatokea kwenye Kili Marathon.
Gari yao imegonga treni hapa Mombo, na gari imeharikiba sana. Vitu vyao vimepotea watakuwa hawapatikani kwa simu.Wamevunjika miguu,
Wamepelekwa hospital. Dereva yupo chini ya ulinzi.

Mwenye ndugu mfike Mombo polisi....

Jr[emoji769]
 
[emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji123][emoji123][emoji123]hizi gari zina heshima yake jamani acheni tu

Jr[emoji769]
Sio unakuta mtu anamiliki Passo au Vitz 900cc na yeye anataka aitwe ana gari, yaani kuna pikipiki engine yake ni ina ujazo ni mkubwa kuliko hiyo passo au vitz
 
Sio unakuta mtu anamiliki Passo au Vitz 900cc na yeye anataka aitwe ana gari, yaani kuna pikipiki engine yake ni ina ujazo ni mkubwa kuliko hiyo passo au vitz
[emoji23][emoji23][emoji23]

Jr[emoji769]
 
Mkuu, sasa hapo ni tatizo la gari au tatizo lenu mafundi ?.
 
Kwa hiyo unathibitisha kwamba kijana mdogo hawezi kuimiliki Benz sio ?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…