Wamiliki wa lodge kuweni serious

Kama ungekuwa wewe ungeweza kutoa Geisha kwa kila mteja anapokodi chumba ?

Sabuni hizo zinapunguza cost kwa sababu inatumika once kesho inatakiwa zipatikane zingine hata hivyo ikiisha unaweza kuomba nyingine

Family inauzwa 500/= hizo geisha ni buku..!
Umelipa 50k mwenye lodge anapata hasara gani akitoa hizo? Vile visabuni kwanza vina harufu mbaya na kinyaa!
Binafsi mimi nikiwa safari inayonilazimu kulala lodge nakuwa na imperial ama dettol zangu!
 
Lodge ina vyumba 10, utoe 1000 kununua sabuni kila siku kwa mwaka utakuwa umetumia karibia milioni tatu kwa sabuni tu bado za kufulia, umeme na kodi hiyo Lodge italipa kweli ???
 
Kubeba sabuni yako haukatazwi ile ni biashara lazima mtu atoe inayompa faida.

Pale siyo home kwamba upewe home services.
 
Nshakutana na mavi mabichi bafuni ,nikajiuliza inamaana huyu muhudumu alinitandikia hajaona hayo mavi au ni yeye kanya na ilikua haihitaji DNA kujua ni yupi mzazi wa Lile kimba yaani Lile kimba lilikua ni yule muhudumu copyright ,nikaamua kuachana nao nikaenda kulala msikitini tu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Lodge ina vyumba 10, utoe 1000 kununua sabuni kila siku kwa mwaka utakuwa umetumia karibia milioni tatu kwa sabuni tu bado za kufulia, umeme na kodi hiyo Lodge italipa kweli ???

Wewe kweli ni hewa tu! Unakuja na hesabu za kiduwanzi!
Kwa hivyo vyumba 10, kwa malipo ya 50k kwa siku, mapato ni zaidi million180, ikitumika hiyo million 3 kuna hasara gani, wakati running cost haifiki hata million80?
Wewe utakuww mhudumu wa guest house siyo bure!!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Aiseee..
 
Kupata muda wa kutosha wa kuandaa chumba kwa ajili ya wageni wengine, na wakati mwingine unakuta chumba kilishakuwa booked.
kuwa booked na mimi niko ndani less than 24hrs?
By the way mimi nikiwa nakaa hotel like 3 days huwa nakataa hizo mambo za kuingia kufanya usafi na kubadil mashuka na kufanya usafi mpaka siku naondoka
 
Hiyo ndio shida ya kulala sehemu ya Tsh 10k mpaka 15k. Ukilala sehemu ya at least 40-60k hutoona kadhia hizo.
 
33. Kandambili rangi tofauti
34. Kandambili imekatwa kwa mbele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…