Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiruhusu Short Time unaua biasharaUkiona lodge inatumika sana kwa short time ujue haina uongozi bora, yaani hapo kwanza kama ni 25k mtu akija na 10k aruhusiwe, hapana bei ni moja kama ni 25k ni hiyo hiyo hata ukikaa dakika kumi na tano ni wewe na zaidi kinachofanyika kuna vyumba ambavyo unavitenga kabisa kua hivi viwili au vitatu ni vya dharura ikitokea lakini vingine vinaheshimiwa ni vya kulala na hata room hizo za dharura pamoja na kuvitenga hivo ni siri ya uongozi na lazima vifanyiwe usafi mara kwa mara, akitoka mmoja kufanya mambo yake ni muhimu kubadili mashuka na kila kitu, na zile nyingine zifuliwe ndio maana room moja walau iwe na pea tatu hadi nne za shuka ili usilete usumbufu na zile airfreshner ndio huapply hapo sasa
Ukiruhusu Short Time unaua biashara
Towels zimechange color from white to cream [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mweee,pole kwa changomoto iliyokukupata lakini usisite kuja tena tumeboresha huduma zetu kuanzia mikumi, mafinga pia ukija dodoma tembelea kiwanja chetu cha starehe maarufu kwa jina la The Capital park ,iringa road kilichopo makao makuu ya nchi Dodoma.Mwaka jana miezi kama hii (msimu wa baridi) nilisafiri kwenda Mafinga, sasa katika kutafuta lodge nikaangukia lodge moja hivi ambayo kampuni hiyo ya lodge wana hoteli jina kubwa tu Mikumi pia...
Sasa nishalipia, nimepewa chumba na nahitaji kuoga ndipo nilipoanza kuona mapicha picha...
Maji ya moto hayatoki sijui kuni zimelowa maji hivyo wanahangaika kuzikausha, kumbe maeneo ya huko wana teknolojia yao ya kuchemsha maji kwa kuni, reservoir ya maji ni kitanki kimejengewa kwenye kitu kama tanuri hivi...
Pili, hata hayo maji ya moto yakiwepo basi yanatoka kwa ratiba na ni muda ule mtu wa kuchochea kuni atapokuwepo...
Nilikaa usiku mmoja tu, kesho yake nikatafuta mahali pengine
wale wa usafi ndo ma-mastamaind wa kuandaa mazingira ya chabo. we chukua chumba kokote unakotaka lazma utakuta pazia limeacha kaupenyo somewhereWatu wanapiga chabo kwa kutumia tule tu-vijiti vyembamba na kupeleka pazia upande mmoja.
Mwisho saa 4 ni sawa lakini kwa tarehe ipi?Kwann utumie neno kukomalia, ?
Ukion unakomalia Jambo fulan either n hak yako au fea
, Unasomag zle notes walizobandk mbon znafafanua , mwisho wakukabith room n saa4
Mafinga lodge nyingi ni chafu.Dah! Umepiga kwenye mshono.
Binafsi nililala kwenye Lodge moja hivi huko Mafinga Iringa. Aisee nilijuta usiku kucha. Siyo kwa uchafu ule wa blanketi.
Lodge nyingi za Mafinga zimewekeza zaidi kwa wateja wa short time! Maana hilo eneo watu wananyanduana balaa.Mafinga lodge nyingi ni chafu.
Sio sehemu ya kulala pale unless ubanwe haswaLodge nyingi za Mafinga zimewekeza zaidi kwa wateja wa short time! Maana hilo eneo watu wananyanduana balaa.
Tatizo wengi wetu hatujielewi , unalipa lodge 50, 000 halafu maji ya baridi na huongei . Wenye lodge wanazoea kutoa huduma chini ya kiwango.Hapo komaa hata Polisi waende wewe kwenye kitabu umeandika tarehe ya kuingia na kutoka.
Ila tujaribu tafuta hela ili tulale kwenye sehemu zinazojielewa
Siku moja 2020 nilienda Ifakara nikafikia Lodge fulani mpya ipo karibu na Stand ya Mabasi ni lodge kali sana na huduma ziko sawa sawa.Sasa wakuu nitachomekea machimbo ya ifakara, mbinga, kahama, ambayo yana sifa bora na masafi mkifika huko direct mnaenda hapo mtahidumiwa vizuri sana kwa weledi mkubwa na bei kote ni 25k
Mweee,pole kwa changomoto iliyokukupata lakini usisite kuja tena tumeboresha huduma zetu kuanzia mikumi, mafinga pia ukija dodoma tembelea kiwanja chetu cha starehe maarufu kwa jina la The Capital park ,iringa road kilichopo makao makuu ya nchi Dodoma.
Dah! Umepiga kwenye mshono.
Binafsi nililala kwenye Lodge moja hivi huko Mafinga Iringa. Aisee nilijuta usiku kucha. Siyo kwa uchafu ule wa blanketi.
Kagame, Sharon, KibadamoAcha uongo itaje jina hotel hata moja ya 60k hapo ubungo yenye upuuzi huo
Ww umezoea kulala gest bubu za 15k unataka kuhalalisha upuuzi huo na kwenye hotel
Kibadamo na Sharon enzi zake, 2006 ilikuwa huwezi kwenda, ni sisi wababe tu, ila Sasa yamebaki magofu tuKama sio mic, kagame, kibadamo, shalon sijui
Hiyo iliwahi kunitokea dodoma tuliingia saa 10 alfajiri sasa jamaa niliokafuatana nao wakadai tukomae tu nje mpaka asubuhi nikaona usenge huo sifanyi nikachukua bodaboda tukawa tunatafuta lodge mpaka tukaipata hiyo sasa ndio ishafika saa 11 nikalipa imefika saa 4 mlango unagongwa nafungua wananiambia muda umeisha hakika tulibishana sana msimamo wangu ulikuwa iweje niingie tarehe ileile tena asubuhi tu halafu nitoke siku ileile tena asubuhi pia? Mwishoni nilishindaHatar.Juz nimeingia arusha saa 8 usiku hotel nimelipa 35k halaf asbuh saa 4 inabid nilipe tena eti ya siku nyingine..Ile pesa walahi iliniuma