Wamiliki wa lodge kuweni serious

Wamiliki wa lodge kuweni serious

Ukiona lodge inatumika sana kwa short time ujue haina uongozi bora, yaani hapo kwanza kama ni 25k mtu akija na 10k aruhusiwe, hapana bei ni moja kama ni 25k ni hiyo hiyo hata ukikaa dakika kumi na tano ni wewe na zaidi kinachofanyika kuna vyumba ambavyo unavitenga kabisa kua hivi viwili au vitatu ni vya dharura ikitokea lakini vingine vinaheshimiwa ni vya kulala na hata room hizo za dharura pamoja na kuvitenga hivo ni siri ya uongozi na lazima vifanyiwe usafi mara kwa mara, akitoka mmoja kufanya mambo yake ni muhimu kubadili mashuka na kila kitu, na zile nyingine zifuliwe ndio maana room moja walau iwe na pea tatu hadi nne za shuka ili usilete usumbufu na zile airfreshner ndio huapply hapo sasa
Ukiruhusu Short Time unaua biashara
 
Ukiruhusu Short Time unaua biashara

Ndio lodge ikisha kua branded kama ya short time hapo ujue hamna kitu tena, lakini technic nyingine ya kupata wateja hua ni vijiwe vya boda na bajaji kila akikuletea mteja kamishen yake ni buku ndio hua wanasambaza habari ukishuka tu kuuliza lodge wanaipamba biashara yako vyema, lakini kutokana na ushindani kama uko mbali na stendi hua alfajiri mteja unamgharamia namna ya kufika stendi, hii hufanyika kama motisha ili siku nyingine mteja anakuja vizuri na mara nyingi mteja anaulizwa kama anasafiri ili walau aamshwe saa kumi na moja afanye maandalizi kwa wale wanaoondoka na magari ya asubuhi, na wanakuepo boda waaminifu wasioweza kumdhuru au kumwibia mteja vitu vyake
 
Nilichojifunza wamiliki wengi hupenda tu kujulikana ana lodge 4 au 5 wakati huduma na usimamizi unakua mbovu, ndio maana afadhali umiliki lodge moja lakini uwe na ufanisi uliobora kwenye huduma, , kule juu nilisema kuandika majina ya wateja vizuri na kwa kuthibitisha hii husaidia kuepuka usumbufu wa askari na jamaa wa uhamiaji wakoshalewa basi watakuja kusumbua wateja kikubwa wapate posho tu mimi hua sipendi hizo habari, wapite wakague kitabu waondoke kama wana mashaka na mteja fulani lazima wafuate utaratibu unaofaa kumkamata mtu
 
Mwaka jana miezi kama hii (msimu wa baridi) nilisafiri kwenda Mafinga, sasa katika kutafuta lodge nikaangukia lodge moja hivi ambayo kampuni hiyo ya lodge wana hoteli jina kubwa tu Mikumi pia...

Sasa nishalipia, nimepewa chumba na nahitaji kuoga ndipo nilipoanza kuona mapicha picha...

Maji ya moto hayatoki sijui kuni zimelowa maji hivyo wanahangaika kuzikausha, kumbe maeneo ya huko wana teknolojia yao ya kuchemsha maji kwa kuni, reservoir ya maji ni kitanki kimejengewa kwenye kitu kama tanuri hivi...

Pili, hata hayo maji ya moto yakiwepo basi yanatoka kwa ratiba na ni muda ule mtu wa kuchochea kuni atapokuwepo...

Nilikaa usiku mmoja tu, kesho yake nikatafuta mahali pengine
Mweee,pole kwa changomoto iliyokukupata lakini usisite kuja tena tumeboresha huduma zetu kuanzia mikumi, mafinga pia ukija dodoma tembelea kiwanja chetu cha starehe maarufu kwa jina la The Capital park ,iringa road kilichopo makao makuu ya nchi Dodoma.
 
Kwann utumie neno kukomalia, ?

Ukion unakomalia Jambo fulan either n hak yako au fea


, Unasomag zle notes walizobandk mbon znafafanua , mwisho wakukabith room n saa4
Mwisho saa 4 ni sawa lakini kwa tarehe ipi?
Daftari la wageni ndio linatoa muongozo wa mkataba wa wewe na mwenye lodge . Ukiingia tarehe 11 maana yake unatoka tarehe 12 saa 4 asubuhi. Ukilazimishwa kutoka tarehe 11 hiyo hiyo hilo ni kosa lako wewe . Unless hiyo lodge iwe inatoa huduma za short time,
 
Sasa wakuu nitachomekea machimbo ya ifakara, mbinga, kahama, ambayo yana sifa bora na masafi mkifika huko direct mnaenda hapo mtahidumiwa vizuri sana kwa weledi mkubwa na bei kote ni 25k
Siku moja 2020 nilienda Ifakara nikafikia Lodge fulani mpya ipo karibu na Stand ya Mabasi ni lodge kali sana na huduma ziko sawa sawa.

Ila changamoto iliyonikuta nililala vizuri asubuhi nimeamka na mvi shuka inatoa nyuzi hatari kila nguo ukigusisha kwenye shuka la kitanda unaokota nyuzi za shuka.
 
Mweee,pole kwa changomoto iliyokukupata lakini usisite kuja tena tumeboresha huduma zetu kuanzia mikumi, mafinga pia ukija dodoma tembelea kiwanja chetu cha starehe maarufu kwa jina la The Capital park ,iringa road kilichopo makao makuu ya nchi Dodoma.

Kwa kweli siku nikienda Mafinga, sitakuja tena hiyo lodge...

Nilishapata chimbo jipya karibu na NMB wana huduma nzuri na ni karibu na stendi...
 
Dah! Umepiga kwenye mshono.

Binafsi nililala kwenye Lodge moja hivi huko Mafinga Iringa. Aisee nilijuta usiku kucha. Siyo kwa uchafu ule wa blanketi.

Sijui wana matatizo gani...

Kwa nje unaona lodge kali ina hadi bustani, ingia ndani sasa ukutane na mishuka au miforonya michafu...

Na kuna lodge nyingine zina vyumba ndani kwa ndani hakuna hata hewa safi, yaani ni kama uchukue kiberiti ukiweke ndani ya bakuli...
 
Hatar.Juz nimeingia arusha saa 8 usiku hotel nimelipa 35k halaf asbuh saa 4 inabid nilipe tena eti ya siku nyingine..Ile pesa walahi iliniuma
Hiyo iliwahi kunitokea dodoma tuliingia saa 10 alfajiri sasa jamaa niliokafuatana nao wakadai tukomae tu nje mpaka asubuhi nikaona usenge huo sifanyi nikachukua bodaboda tukawa tunatafuta lodge mpaka tukaipata hiyo sasa ndio ishafika saa 11 nikalipa imefika saa 4 mlango unagongwa nafungua wananiambia muda umeisha hakika tulibishana sana msimamo wangu ulikuwa iweje niingie tarehe ileile tena asubuhi tu halafu nitoke siku ileile tena asubuhi pia? Mwishoni nilishinda
 
Back
Top Bottom