ROGATH MCHAU
JF-Expert Member
- Jan 17, 2017
- 569
- 1,009
Upo sahihi mkuu,umesahau na mikoa yenye baridi blanket zinanukaSometimes mtu anasafiri analazimika kuchukua chumba lodge Kwa sababu mbalimbali ikiwemo ukaribu wa anapokwenda mfano kikazi mtu atachukua lodge karibu na ofisi, au ukumbi wa mikutano na kadhalika. Sometimes kwa sababu ya lodge zingine kuwa zimejaa n.k..
Lakini sasa unaona lodge nzuri Kwa nje na hata ndani Kwa macho unaona iko Sawa, unalipia ulale unashangaa na unayo kutana nayo.
1. Feni inapiga kelele.
2. Bomba bovu maji yanatiririka bafuni.
3. Vitasa vibovu.
4. Mlango wa bafuni haufungi.
5. Taa bafuni haiwaki
6. Kitanda kinatoa milio
7. Mto ngumu Sana au mlaini Sana..
8. Feni haipungui wala kuongezeka Ama uwashe au uzime.
9. AC inapiga kelele
10. Tiles bafuni zina kutu.
11. Wahudumu Wana makelele.
Mradi matatizo ni mengi ambayo mtu anaejali biashara yake ni rahisi kabisa kutatua.
Nashauri kama mtu unamiliki lodge au kuendesha uweke utaratibu wa kulala wewe mwenyewe kila chumba Kwa mda Fulani ukague ujirishishe na huduma unazotoa.
Kuna lodge chumba kimoja kina joto kuliko chumba kingine Nakadhalika.
Kuweni serious, lodge ni sehemu ya mteja kulala comfortable sio kuwaza wateja wote wanaenda kwa ngono tu na kuondoka.
Sawa mtaalamu hizi mambo nimekubali, lakini gesti zipo kweli now days? sijaziona kitambo sanaTATIZO WEWE ULILALA GUEST HAUKULALA LODGE KAMA ULIVYOANDIKA.
KUNA TOFAUTI YA HIVYO VITU, GUEST NDIO PANA UJINGA UJINGA HUO MAANA NI BEI RAHISI ILA LODGE BEI YAKE IMECHANGAMKA KIDOGO LAKINI VYUMBA NI VIZURI.
[emoji16] kupenda vya buku jero tuSiku moja Moshi mjini mitaa ya Majengo nilichukua room kwenye lodge moja, 20k. Nilipoingia tu nikafunga mlango wa room kwa funguo, nikavua nguo direct kuoga bafuni. Huko bafuni nililazimika kurudishia mlango maana bafu ni dogo sana. Ile nafunga mlango nikasikia kitu kinaanguka upande wa pili wa mlango (upande wa chumbani). Sikujali nikaendelea kuoga.
Nimemaliza kuoga nafungua mlango haufunguki. Kumbe handle ya kitasa upande wa nje na kile kijichuma kinaunganisha handles na kitasa ndio vinedondoka.
Niliita wahudumu kwa nguvu sana ila wasisikie mpaka koo likauma na matusi yote hapo nimeshamaliza, na hakuna hata mteja mwingine room jirani anisikie awaambie. Wamekuja baada ya nusu saa hivi ila hawawezi kuingia chumbani kwangu kwani nimefunga. Funguo za akiba hawana anazo boss mwenye guest house. Boss amepigiwa yupo mbali, shambani. Alikuja baada ya kama 3hrs hivi. Muda wote huo nipo chooni tu.
Walipofungua nikatoka. Jicho nililowakata wakaelewa namaanisha nini. Wakanirudishia hela yangu bila kusema chochote nikaondoka kutafuta lodge nyingine.
Lodge kuna paka[emoji23]23. TV za chogo
24. Chaneli zinabadilishiwa reception
25. Lodge kuna paka
26.Sabuni za mche unakatika kakipande
27. Mwisho saa nne kukaa chumbani
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Siku moja nilisafiri nikakutana na hii lodge.
Sikugusa chochote humo ndani.View attachment 2653324View attachment 2653325
Looooh[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Siku moja nilisafiri nikakutana na hii lodge.
Sikugusa chochote humo ndani.View attachment 2653324View attachment 2653325
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuna lodge nililala Kakola Shinyanga eeeh bwana chumbani aliingia yule mdudu mweusi kama mpanzi.
Huyo mdudu Kelele zake zinatakiwa azipigie nje kwenye uwazi sio chumbani aisee triiiiiiiiiiiiiiiìiiiiiiiiìiiiiii triiiiiiiiiiiiiiiiiiìi usiku kucha sauti yake nilikuwa naisikia kwenye ngoma ya sikio.
Niliamka kichwa kinaniuma Asubuhi, mawazo yangu nilijua mdudu yuko nje ya dirisha. Wakati navaa viatu nikamwona aisee nilimkanyaga kwa hasira.
Tatizo hizo lodge za elf50+ nyingine wanafunga kamera, Sasa sisi watu wa wamagumashi inakuwa sio poa[emoji23][emoji16] kupenda vya buku jero tu
Loooh[emoji1787]Mlango hamna na dirisha la chooni na chumbani ni moja, ukiangalia vizuri utaona hapo
lodge kama hii siwezi lala mimiSiku moja nilisafiri nikakutana na hii lodge.
Sikugusa chochote humo ndani.View attachment 2653324View attachment 2653325
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mwaka jana miezi kama hii (msimu wa baridi) nilisafiri kwenda Mafinga, sasa katika kutafuta lodge nikaangukia lodge moja hivi ambayo kampuni hiyo ya lodge wana hoteli jina kubwa tu Mikumi pia...
Sasa nishalipia, nimepewa chumba na nahitaji kuoga ndipo nilipoanza kuona mapicha picha...
Maji ya moto hayatoki sijui kuni zimelowa maji hivyo wanahangaika kuzikausha, kumbe maeneo ya huko wana teknolojia yao ya kuchemsha maji kwa kuni, reservoir ya maji ni kitanki kimejengewa kwenye kitu kama tanuri hivi...
Pili, hata hayo maji ya moto yakiwepo basi yanatoka kwa ratiba na ni muda ule mtu wa kuchochea kuni atapokuwepo...
Nilikaa usiku mmoja tu, kesho yake nikatafuta mahali pengine
[emoji23][emoji23][emoji23] hatari sana,yani harufu ya choo unaisikia vizuri kama upo beach[emoji1787]Loooh[emoji1787]
Aisee,noma sana, ukiwaza sana uwezi lala lodge[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatari sana,yani harufu ya choo unaisikia vizuri kama upo beach[emoji1787]
Siku hiyo sikuwa na namna yani ilibidi nilale tu,ila ilikuwa chafu kupitiliza, hizo ndoo zilivyo chafu unaanza vipi kuogea.[emoji2961][emoji2961][emoji2961]Aisee,noma sana, ukiwaza sana uwezi lala lodge[emoji23]