Mwanza hotel nzuri sana na bei inaelewekaMwanza ni bei rahisi, nililala hotel chumba cha 13000 safi kabisa.
Simu na tv japo chogo, Choo cha nje but natumia mwenyewe tu maana vyumba vingine vyenye choo ndani vilikuwa vimejaa wateja.
Hunilazi kitanda chenye mdudu yoyote yule nikapata usingizi hata lepe.Mwaka 2007 nilikwenda Korogwe, kulikua na send-off . Baada ya sherehe mishale ya saa sita jamaa yangu akani drop mbele ya Magoma guest house. Wakafungua na kunipa room. Aisee!! Shuka hazijafuliwa, Ile naendelea kuchunguza nikakutana na kunguni wenye njaa, mvunguni mende wametawala. Ilibidi nivue nguo zote ili nisije kubeba mbegu ya chawa wa CCM na kunguni.
Nikilala usingizi wa mang'ang'am haswa.
Kifupi Ni kwamba wasambaa hospitality industry waachieni wakinga.
Zanzbar niliwahi pata guest ina choo kibaya yani hicho ni bora alafu 30,000/=Siku moja nilisafiri nikakutana na hii lodge.
Sikugusa chochote humo ndani.View attachment 2653324View attachment 2653325
Sasa fikiria kwa bei hiyo nilikuwa napata na breakfast asubuhi. Wakati dar ukipata guest ya 13000 uhakika wa kuondoka na kunguni ni 100%Mwanza hotel nzuri sana na bei inaeleweka
Malipo yote ya guest na lodge yanalipwa kwa kuzingatia usiku na sio kwa siku,kwa hivyo ikitoke siku moja kukagoma kukucha siku mbili basi utabaki na chumba hicho kwa siku mbiliTarehe ndio zinatulinda, kwamba Nimeingia Tarehe 10 natoka Tarehe 11
Unawafanyia ubabe tu
Bora Dar.Sasa fikiria kwa bei hiyo nilikuwa napata na breakfast asubuhi. Wakati dar ukipata guest ya 13000 uhakika wa kuondoka na kunguni ni 100%
Basi tu watu huwa hawataki kelele, ila kwa uhalisia ukiingia kuanzia saa 6 usiku, watakiwa uondoke tarehe inayofuataMalipo yote ya guest na lodge yanalipwa kwa kuzingatia usiku na sio kwa siku,kwa hivyo ikitoke siku moja kukagoma kukucha siku mbili basi utabaki na chumba hicho kwa siku mbili
Guest ya hivyo wateja wakijua huwapati ng'oo. Katika vitu vinawapa hela wamiliki wa lodge ni wateja wanao ingia kupigana mti na utakuta ni mume au mke wa mtu wanafunzi nk sasa hayo mambo ya camera tena na watu ambavyo mafriji hayagandishi hakuna maana ya faragha hapo hukawii kukuta clip yako ikiwa hewan mzee mzina inaingiza room katoto.Halafu kwa wamiliki wa lodges na hotel jitahidi kufunga kamera za usalama kwenye jengo lako hua zinasaidia sana wakati mwingine hasa nje, mapokezi, kwenye korido za kuingia vyumbani, na kila mgeni aandike jina lake halisi either aoneshe kitambulisho au kwa raia wa kigeni lazima akuoneshe hati yake ya kusafiria ili unakili namba zake kwa ufasaha,
Upo sahihi, Dodoma nimeshawahi kuchukua chumba sikuridhika nacho kabisa. Ni kwa vile tu nilichukua chumba kwa ajili ya kuhifadhi begi mimi nikaenda kukesha viwanjani.Bora Dar.
Dodoma pana hotel mbaya sijawahi ona toka dunia imeumbwa
Elfu 80???? Hivi unawezaje kukubali jambo kama hiloooo.. daah hatari sanaNimewahi kulala hoteli ya 80,000 moshi na asubuhi nikagundua bafuni maji hayatoki! Kuwapigia simu reception wakaniambia nisijali, wakaniletea maji kwenye ndoo na kikombe cha kujimwagia. [emoji3525]
We acha tu mkuu. Sasa unafanyaje saizo ni asubuhi umeshalala usiku kucha. Hoteli ilikua nzuri sana room nzuri ila sasa maji ndio hakuna nahisi kulikua na shida.Elfu 80???? Hivi unawezaje kukubali jambo kama hiloooo.. daah hatari sana
Ilikua dharura huendaNimewahi kulala hoteli ya 80,000 moshi na asubuhi nikagundua bafuni maji hayatoki! Kuwapigia simu reception wakaniambia nisijali, wakaniletea maji kwenye ndoo na kikombe cha kujimwagia. [emoji3525]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimewahi kulala hoteli ya 80,000 moshi na asubuhi nikagundua bafuni maji hayatoki! Kuwapigia simu reception wakaniambia nisijali, wakaniletea maji kwenye ndoo na kikombe cha kujimwagia. [emoji3525]