Ubungo kuna hotel ya ghorofa zaidi ya tano ..unalipa elfu 60 lakini unakutana na mashuka hayajabadilishwa...tiles bafuni zina ramani ..n.kLala gest ya kuanzia elf40 hutaona huo ujinga, yaan kila siku unalipwa 150k wewe unalala gest ya elf10
Mlango hamna na dirisha la chooni na chumbani ni moja, ukiangalia vizuri utaona hapoNa mlango wa bafuni hakuna...kama kuna harufu basi kero tupu
Ubungo stendi zipo hoteli za bei hiyo na haya malalamiko yapo Tele..tiles za bafuni chafu....TV Haina channels...- Tatizo bei unazotaka kulipa, huwezi lipa 50, 000 ukakuta hiz shida hapo juu, guest za 15,000 hizo ndo sifa zake
Kwa hiyo unapenda kazi ya u referee kama kwenye mpira referree kujifanya anaujua mpira sana wakati hajawahi Chezea hata timu ya uchochoroniSio kila mtu anaweza kufanya biashara
Hatar.Juz nimeingia arusha saa 8 usiku hotel nimelipa 35k halaf asbuh saa 4 inabid nilipe tena eti ya siku nyingine..Ile pesa walahi iliniumaKwa Tanzania wamekariri hiyo sheria
Siku moja nilisafiri nikakutana na hii lodge.
Sikugusa chochote humo ndani.View attachment 2653324View attachment 2653325
Kuna lodge nililala Kakola Shinyanga eeeh bwana chumbani aliingia yule mdudu mweusi kama mpanzi.
Huyo mdudu Kelele zake zinatakiwa azipigie nje kwenye uwazi sio chumbani aisee triiiiiiiiiiiiiiiìiiiiiiiiìiiiiii triiiiiiiiiiiiiiiiiiìi sauti yake nilikuwa naisikia kwenye ngoma ya sikio.
Niliamka kichwa kinaniuma Asubuhi, mawazo yangu nilijua mdudu yuko nje ya dirisha. Wakati navaa viatu nikamwona aisee nilimkanyaga kwa hasira.
35. Kale kadude ka kupasha maji yawe moto kapo ila hakafanyi kazi (heater)33.Usiku wanakuja madada poa halafu kibabe..
34.wanazuia kuvuta ndumu ndani..(huwa wananikera sana.) ndio maana huwa nawaambia waiteni police wanikamate au mtaniua humu..
Kuna lodge nililala Kakola Shinyanga eeeh bwana chumbani aliingia yule mdudu mweusi kama mpanzi.
Huyo mdudu Kelele zake zinatakiwa azipigie nje kwenye uwazi sio chumbani aisee triiiiiiiiiiiiiiiìiiiiiiiiìiiiiii triiiiiiiiiiiiiiiiiiìi sauti yake nilikuwa naisikia kwenye ngoma ya sikio.
Niliamka kichwa kinaniuma Asubuhi, mawazo yangu nilijua mdudu yuko nje ya dirisha. Wakati navaa viatu nikamwona aisee nilimkanyaga kwa hasira.
Wanawake tukienda hoteli kama vile tunahama.Kuna tule tusabuni tudogo kama kiberiti, sijui wanavinunua Tsh100.. unapewa wakati umelipa 50k+ wanashindwa kutoa sabuni zinazoeleweka, sijawahi kuvitumia kuoga!
Mbaya unamkuta mwamba anaweka kwenye bag, sometime hata wateja tuwe serious!
Hii mbaya sana, juzi nilipata kisa kimoja kizuri , afu hawajui kukataa.Wanaajiri makahaba....ndo maana unaona anakujibu vyovyote
naunga mkono hojaDuh [emoji849][emoji849] wew utakuw umeend kukagua lodge
Mimi hizo lodge tatzo langu kubwa ni wao kukodsha chin ya masaa24
Natak lodge mtu akiigia saa 2 usiku hadi kesho saa usiku
12. Blankets hazibadilishwi zinanukaSometimes mtu anasafiri analazimika kuchukua chumba lodge Kwa sababu mbalimbali ikiwemo ukaribu wa anapokwenda mfano kikazi mtu atachukua lodge karibu na ofisi, au ukumbi wa mikutano na kadhalika. Sometimes kwa sababu ya lodge zingine kuwa zimejaa n.k..
Lakini sasa unaona lodge nzuri Kwa nje na hata ndani Kwa macho unaona iko Sawa, unalipia ulale unashangaa na unayo kutana nayo.
1. Feni inapiga kelele.
2. Bomba bovu maji yanatiririka bafuni.
3. Vitasa vibovu.
4. Mlango wa bafuni haufungi.
5. Taa bafuni haiwaki
6. Kitanda kinatoa milio
7. Mto ngumu Sana au mlaini Sana..
8. Feni haipungui wala kuongezeka Ama uwashe au uzime.
9. AC inapiga kelele
10. Tiles bafuni zina kutu.
11. Wahudumu Wana makelele.
Mradi matatizo ni mengi ambayo mtu anaejali biashara yake ni rahisi kabisa kutatua.
Nashauri kama mtu unamiliki lodge au kuendesha uweke utaratibu wa kulala wewe mwenyewe kila chumba Kwa mda Fulani ukague ujirishishe na huduma unazotoa.
Kuna lodge chumba kimoja kina joto kuliko chumba kingine Nakadhalika.
Kuweni serious, lodge ni sehemu ya mteja kulala comfortable sio kuwaza wateja wote wanaenda kwa ngono tu na kuondoka.
Huwaga ni walaini hawa watoto hawajui kukataa.Kuna lodge ilikuwa mpya kabisa ndo imetoka kuzinduliwa tu nikaenda kulala pale. Sasa nimeamka ile asubuhi kabla sijaingia kitaa nikasema ngoja nitest kama huwa wanafua yale mashuka. nikaweka kialama kdogo sana kwenye zile shuka nijue kama wamebadilisha shuka ama la. Nikarudi jioni nakagua zile alama zangu nakuta mashuka ni yaleyale hayajabadilishwa! Nikamvaa mdada wa mapokezi akajitoa ufaham eti alibadilisha nikakomaa akayatoa mashuka yote na kuweka mengine. niligundua muda wote yule dada alikuwa anachezea simu yake tu pale mapokezi anangoja maokoto mwisho wa mwez