monopoly inc
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 5,256
- 11,377
Sio kibadamo hao wapuuziUbungo kuna hotel ya ghorofa zaidi ya tano ..unalipa elfu 60 lakini unakutana na mashuka hayajabadilishwa...tiles bafuni zina ramani ..n.k
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kibadamo hao wapuuziUbungo kuna hotel ya ghorofa zaidi ya tano ..unalipa elfu 60 lakini unakutana na mashuka hayajabadilishwa...tiles bafuni zina ramani ..n.k
Mkuu huamini kweliChai
Mbona makosa yao yanarekebishika kabisa?Kwa hiyo unapenda kazi ya u referee kama kwenye mpira referred kujifanya anaujua mpira sana wakati hajawahi Chezea hata timu ya uchochoroni
Maisha sio u refferee kama wa mpiran wa miguu Ingia ucheze .Kafungue lodge yako tuone.
Huwezi jua nini kinawakwamisha hao unawaita wana.lodge mbovu washindwe kuboresha hizo lodge ziwe kiwango chako unachokiota
[emoji23][emoji23][emoji23]Kuna lodge nililala Kakola Shinyanga eeeh bwana chumbani aliingia yule mdudu mweusi kama mpanzi.
Huyo mdudu Kelele zake zinatakiwa azipigie nje kwenye uwazi sio chumbani aisee triiiiiiiiiiiiiiiìiiiiiiiiìiiiiii triiiiiiiiiiiiiiiiiiìi usiku kucha sauti yake nilikuwa naisikia kwenye ngoma ya sikio.
Niliamka kichwa kinaniuma Asubuhi, mawazo yangu nilijua mdudu yuko nje ya dirisha. Wakati navaa viatu nikamwona aisee nilimkanyaga kwa hasira.
duuh teknolojia ya wapi iyo mkuu unatumia?Mie uzuri wangu shuka likilaliwa tu huwa najua,nikilinusa.
Si ndio hapo!Na ukikuta restaurants kigoma huduma mbovu..ujenge restaurants kigoma na nchi nzima??
Hii itakuwa manzese kwa mfuga mapakaSiku moja nilisafiri nikakutana na hii lodge.
Sikugusa chochote humo ndani.View attachment 2653324View attachment 2653325
Hujakosea hata kidogoNimekuja kugundua lodge za dar es salaam za bei ya 50000 au 100000 zinalingana hadhi au zimezidiwa na lodge za mkoani za Tsh.25,000 au 30,000 mfano mzuri nenda singida uchukue lodge kama Tilito au mitaa ya mwenge ukiwa unakuja stend mpya, au mitaa ya Sky Way ujionee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Cha moto ulikipata.Siku moja Moshi mjini mitaa ya Majengo nilichukua room kwenye lodge moja, 20k. Nilipoingia tu nikafunga mlango wa room kwa funguo, nikavua nguo direct kuoga bafuni. Huko bafuni nililazimika kurudishia mlango maana bafu ni dogo sana. Ile nafunga mlango nikasikia kitu kinaanguka upande wa pili wa mlango (upande wa chumbani). Sikujali nikaendelea kuoga.
Nimemaliza kuoga nafungua mlango haufunguki. Kumbe handle ya kitasa upande wa nje na kile kijichuma kinaunganisha handles na kitasa ndio vinedondoka.
Niliita wahudumu kwa nguvu sana ila wasisikie mpaka koo likauma na matusi yote hapo nimeshamaliza, na hakuna hata mteja mwingine room jirani anisikie awaambie. Wamekuja baada ya nusu saa hivi ila hawawezi kuingia chumbani kwangu kwani nimefunga. Funguo za akiba hawana anazo boss mwenye guest house. Boss amepigiwa yupo mbali, shambani. Alikuja baada ya kama 3hrs hivi. Muda wote huo nipo chooni tu.
Walipofungua nikatoka. Jicho nililowakata wakaelewa namaanisha nini. Wakanirudishia hela yangu bila kusema chochote nikaondoka kutafuta lodge nyingine.
Hukuandika particulars zako kwenye kitabu cha wageni?Hatar.Juz nimeingia arusha saa 8 usiku hotel nimelipa 35k halaf asbuh saa 4 inabid nilipe tena eti ya siku nyingine..Ile pesa walahi iliniuma
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787] Dah sio mchezoSiku moja Moshi mjini mitaa ya Majengo nilichukua room kwenye lodge moja, 20k. Nilipoingia tu nikafunga mlango wa room kwa funguo, nikavua nguo direct kuoga bafuni. Huko bafuni nililazimika kurudishia mlango maana bafu ni dogo sana. Ile nafunga mlango nikasikia kitu kinaanguka upande wa pili wa mlango (upande wa chumbani). Sikujali nikaendelea kuoga.
Nimemaliza kuoga nafungua mlango haufunguki. Kumbe handle ya kitasa upande wa nje na kile kijichuma kinaunganisha handles na kitasa ndio vinedondoka.
Niliita wahudumu kwa nguvu sana ila wasisikie mpaka koo likauma na matusi yote hapo nimeshamaliza, na hakuna hata mteja mwingine room jirani anisikie awaambie. Wamekuja baada ya nusu saa hivi ila hawawezi kuingia chumbani kwangu kwani nimefunga. Funguo za akiba hawana anazo boss mwenye guest house. Boss amepigiwa yupo mbali, shambani. Alikuja baada ya kama 3hrs hivi. Muda wote huo nipo chooni tu.
Walipofungua nikatoka. Jicho nililowakata wakaelewa namaanisha nini. Wakanirudishia hela yangu bila kusema chochote nikaondoka kutafuta lodge nyingine.
Si wengi bali woteWatz wengi hatuko vizuri katika kumjali mteja
Tarehe ndio zinatulinda, kwamba Nimeingia Tarehe 10 natoka Tarehe 11Hukuandika particulars zako kwenye kitabu cha wageni?
Ndio wao ukingia muda wowote kutok saa4 au ulpe TENAHiv kuna zingine utaratibu uko tofauti?
Biashara isingekuwa na faida. Lodge haiwezi kulipa kama wateja wa kulala vyumba kila siku havijai.Duh [emoji849][emoji849] wew utakuw umeend kukagua lodge
Mimi hizo lodge tatzo langu kubwa ni wao kukodsha chin ya masaa24
Natak lodge mtu akiigia saa 2 usiku hadi kesho saa usiku