Wamiliki wa lodge kuweni serious

Wamiliki wa lodge kuweni serious

Kuna tule tusabuni tudogo kama kiberiti, sijui wanavinunua Tsh100.. unapewa wakati umelipa 50k+ wanashindwa kutoa sabuni zinazoeleweka, sijawahi kuvitumia kuoga!
Mbaya unamkuta mwamba anaweka kwenye bag, sometime hata wateja tuwe serious!
Kama ungekuwa wewe ungeweza kutoa Geisha kwa kila mteja anapokodi chumba ?

Sabuni hizo zinapunguza cost kwa sababu inatumika once kesho inatakiwa zipatikane zingine hata hivyo ikiisha unaweza kuomba nyingine
 
Ukiona wankukomalia hivo wamekuona upo loose somewhere. Unapoandka tu kwenye daftari la wageni unasimamia tarehe kabla hujatoa pesa.
Hapo komaa hata Polisi waende wewe kwenye kitabu umeandika tarehe ya kuingia na kutoka.
Ila tujaribu tafuta hela ili tulale kwenye sehemu zinazojielewa
 
Back
Top Bottom