Ego is the Enemy
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 8,201
- 16,246
Habari zenu wanajukwaa!
Tupeane namna ya kukwepa kutuma hela kwa simu Mana jamaa wanadai wazalendo Ila hata Mia Yao mbovu haikatwi pia hatunziwi hela wake kupewa wakizeeka Ila wewe ndiye wa kutunziwa pia ndiye wa kulipa Kodi ya kizalendo.
Jamaa wamelewa Kodi zetu,kumbuka yeye hajui kuwa Kuna shida afrika yaani yeye anaishi life hata mzungu wa uk hampati.
Nisiwapotezee muda ishu Iko Ivi Kama mwenye umiliki wa mabasi ama mtu anaweza akaingia nao ubia wakafanya biashara hii.
Niko dar natoa hela kwa kampuni labda ni 50k afu wewe uko mbeya uko kwa iyo ofisi ya hapo mbeya wao wanahakiki aliyeko dar akatoa hela afu wa mbeya anapewa hapo baadaye wanajumlisha fresh Mambo yanaenda.
Mie Niko zangu Singida unayemtumia uko bukoba nenda ofisi Fulani wasiliana nao yaani ukiwapa tu wa bukoba namie Niko singida nachukua.
Pia kuweka hela benki Mana mawakala wamejaa kila Kona halafu nenda atm chukua hela makato ni 1200 kila unapochukua hela kuanzia 5k mpaka 400k.
Na kwa ATM waweza chukua mpaka 2M so makato jumla ni 1200*5=6k.
Aisee hii njia ya mabasi wakitokea wakiwa na akili itakuwa poa sana.
Yanai ofisi ya mabasi ya kisire iko mza kahama na Tarime ni mwendo tu Niko kahama nawapa hela afu wao wanampatia hela wa mwanza Mana wanahakiki kuwa huyu jamaa mwenye namba hii mpe 50k.
Ngoja niachie hapa nadhani nimeeleweka. Makato wanaweka nusu ya yaliyopo kutumaa na kutokea.
Yaani wameweka kutuma na kutoa pote pote jamani kweli.
Yaani Hawa jamaa sijui wanalewa sana.