Wamiliki wa mabasi fursa mmetengenezewa hiyo hapo chukueni hela

Wakati akikuwepo kibwengo mmoja hivi akishikiria akili za watu mil.59 ukiondia mimi

Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
 
Hahahaha
 
Nikiwa porini huku RDC style hii us kutuma pesa fasta inafika
 
Kodi ifike hata laki 1 ili akili zitukae sawa
 
Sema idea nzuri sana hii nimeielewa! Naweza nikaifanyia kazi hata mimi!
Kwa mfano, mpokeaji anakuwa yupo Mbeya na mlipaji yupo Dar. Mnakubaliana muda wa mtuamaji kufika kwa Wakala wa Dar na muda wa mpokeaji kufika kwa wakala wa Mbeya na kutumia vielelezo na kama picha ya mtumaji na mpokeaji, miamala inafanyika kama kawaida.
 
Sema idea nzuri sana hii nimeielewa! Naweza nikaifanyia kazi hata mimi!

Kuna wasomali wameifanya kariakoo sana enzi za zamani,,, ukitumiwa hela kutoka uingereza ama marekani. Ndugu yako anapeleka hela kule majuu kisha wewe unapokea kariakoo kwa ndugu wa hao wasomali siku hiyo hiyo
 
Wizi utaanza mkuu sio kirahisi hivyo biashara isikuwa na bima ni ngumu sana kwa uhalisia bora hayo makato
 
Si waTanganyika tulikubali Muungano wenyewe Sasa ni zamu ya wazanzibari kututesa na kutuamulia mambo.
 
Naona ni wakati wa E-wallet huduma zake zianze kuwa applied hapa bongo, kwasababu makato Yanataka Kuwa makubwa kwenye hizi local transfer zetu
Wafanyabiashara inabidi wabadilike waanze kuaccept E-wallet
 
Kuna wasomali wameifanya kariakoo sana enzi za zamani,,, ukitumiwa hela kutoka uingereza ama marekani. Ndugu yako anapeleka hela kule majuu kisha wewe unapokea kariakoo kwa ndugu wa hao wasomali siku hiyo hiyo
Hahahahah biashara tamu sana hii halafu inaweza ikakutajirisha kizembe sana yani! Kwa siku ukipiga miamala ya yako 50 tu una pesa nzuri ishu inakuja usalama tu
 
Sahv ukitaka mtumia mtu hela kama wote mko kwenye mkoa mmoja bora mpeane hela physically

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…