Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Kumbe huwajui wa mitandao,ukituma mbali Sana wanakukata kuwa umefanya fraud labda ishu wachonge zile za lipa hapa kwa namba Fulani Kama mpesa.Umeleta wazo zuri mkuu ila hili naona linahitaji kuanzisha system mpya ..kitu ambacho kitachukua muda kuanza kutoa huduma ya uhakika maskini tutakuwa tushaumizwa sana na haya makato..
WAZO LANGU: bado kuna mwanya kwa mawakala kuokoa hii system kandamizi. Nijuavyo mimi wakala kutuma pesa kwa wakala mwenzie hakuna makato hivyo basi anaetuma pesa aende kwa wakala na anaepokea pesa nae aende kwa wakala aliepo karibu nae kisha hawa mawakala watumiane pesa wao kwa wao .
Kisha wakala alietumiwa anatoa cash kwa yule aliekuwa anatumiwa hizo pesa na kwakua hakuna makato yoyote basi hawa mawakala watachaji makato yao kwa cash pale pale. Kwa kufanya hivi wakala atakuwa ameokoa biashara yake na wateja wataokoa pesa zao zinazokwenda na haya makato mapya.
Usiogope si zikijaa wanawatumia hao wa mkoani afu wanachukulia benki huko huko mkoani.Hiyo mbinu nayo inakaugumu kake. Kutokana na wizi na ujambazi uliokuwa umekithiri kwa maboat ya abilia goziba walianza kutumia mbinu hii miaka mingi tu. Ili mtu asisafiri na pesa ila tatizo linakuja kuwa kuna mazingira ambayo yanapokea pesa ila hayatoi na kuna mazingira yanatoa sana pesa kuliko kupokea. Endapo hiyo kampuni itafanya hivyo kuna muda itabidi yenyewe itumie tena miamala ambayo imewakwepesha nyinyi.
Mfano
Watu wengi hutuma sana pesa kutoka dar kwenda mkoani ila hawatumi kutoka mikoani kuja dar. Hivyo ofisi za kampuni za mikoani zitagawa zile pesa mpaka zinaishiwa huku ofisi ya dar ya kampuni ikiwa imejaza magunia ya noti ndani. Hivyo kampuni itahitaji kusafirisha tena hizo noti ama itumie miamara ya kibenk ama miamala ambayo imewakwepesha nyinyi. Kwakifupi huo mchakato unaharufu ya kufirisi mtu
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Inamaana wewe ni milioni moja mkuu? Maana umejiondoa peke yako tu ila wakabaki milion 59Wakati akikuwepo kibwengo mmoja hivi akishikiria akili za watu mil.59 ukiondia mimi
Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
Hii idea ni kama niliyoipendekeza kwenye uzi mmoja hapo awali.Acha kukaza fuvu ilo....
Shotly anamaanisha wamiliki wa mabus ya mkoa waanze kutoa huduma ya miamala. Mf. Wewe unakwenda pale Shekilango kwa Kilimanjaro express unawapa laki 1 huku babe wako anaenda Kilimanjaro express Arusha kuchukua hizo pesa.
Wakiziba hapo bado kuna njia nyingne.. tukiwa siriaz hata hili litapatiwa ufumbuzi kama kwenye mabandoWakiona traffic ya hivyo wataweka zuio [emoji23][emoji23][emoji23] kwa limits maybe hamna kurushiana zaidi ya kiwango flani kwa siku ama mwisho mara 3 kuhamishiana mpaka baada ya masaa 24!
Wacha tuoneWakiziba hapo bado kuna njia nyingne.. tukiwa siriaz hata hili litapatiwa ufumbuzi kama kwenye mabando
Sheria haiwaruhusu wakibainika watajuta kufanya hivyoAcha kukaza fuvu ilo....
Shotly anamaanisha wamiliki wa mabus ya mkoa waanze kutoa huduma ya miamala. Mf. Wewe unakwenda pale Shekilango kwa Kilimanjaro express unawapa laki 1 huku babe wako anaenda Kilimanjaro express Arusha kuchukua hizo pesa.