Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 6,974
- 8,750
Na ushirikina kama woteKuna figisu na chuki huko za hatariiiii, kuungana ni ngumu . Jamaa yangu amewekeza mtaji kanunua zake scania, anakwambia njiani gari zake zinapigwa mawe kila siku hasa usiku na wasiojulikana. Kuna wafalme wa njia hao ukileta gari mpya kwenye njia zao wafwaa, hasa ulete scania wakati wao wana mchina .
Yaani anaweza kupandikizwa dereva kwenye kampuni yako kumbe kaja kupindua gari.
HaswaaaaaNa ushirikina kama wote
Katarama vs allyS
Kifo cha kampuni ya mabasi ya Sauli kiliniuma sana.Inashangaza vikampuni ushuzi vya mabasi vimejaa shekilango. Kila baada ya miezi 6 ukirudi unakuta kishafungwa. Unganisheni Nguvu Undeni kampuni kubwa ya Mabasi yenye tija na weledi ( professional).
NB: uswahili umezidi
Mbona mabasi jamani yapo! Happy Nation umeshawaona?Kampuni International standards sio ujinga ujinga pale Shekilango
Luxury (VIP) labda BM ila hizo nyingine NI ujingaMbona mabasi jamani yapo! Happy Nation umeshawaona?