Nilivyoona tu eti wanaonesha kabisa kwamba amount hii ni gharama zao na amount hii hapa ni kodi ya Serikali basi nikajua huo ni uchochezi.
Hawa watu walipaswa kufanya kama awali kuwa inakata tu gharama ya kutuma muamala bila kuonesha ipi ni kodi na ipi ni ya kwao wamiliki mtandao. Mbona - kwa mfano hawaoneshi kuwa wakala anapata kiasi gani na mmiliki wa mtandao anapata kiasi gani?
Kwanini waoneshe kodi ya Serikali? Hebu Serikali shtukieni hili - wamiliki wa mtandao wanawakosanisha na wananchi wanyonge wa Tanzania!