Cannabis JF-Expert Member Joined Jan 20, 2014 Posts 11,557 Reaction score 33,535 Jul 17, 2021 #21 Hayo ni matakwa ya sheria ambayo serikali ilipitisha yenyewe
jingalao JF-Expert Member Joined Oct 12, 2011 Posts 36,197 Reaction score 29,717 Jul 17, 2021 #22 hamia TTCL
imhotep JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 55,997 Reaction score 88,219 Jul 17, 2021 #23 Kwa mara ya kwanza katika historia tutasikia kuna wakimbizi wameikimbia Nchi yao kwa sababu ya kodi za miamala.
Kwa mara ya kwanza katika historia tutasikia kuna wakimbizi wameikimbia Nchi yao kwa sababu ya kodi za miamala.