Yaani wewe unnitukana kabisa kuwa mimi MATAGA, unajua unapata dhambi aseeeee! Bora hata ungeniambia mbupu zangu kuliko kuniita MATAGA! Umenionea sana sana. Na sitakusahau maisha yangu yote - kwanza MATAGA mwenyewe!Wewe ni Mataga kweli
Ungesema hivi,
Serikali ya CCM imeamua kuwachonganisha wananchi na mitandao ya simu...
Angalia kwanza kiini cha tatizo kabla kufika huko. Shetani ni mwehu siku zoteNilivyoona tu eti wanaonesha kabisa kwamba amount hii ni gharama zao na amount hii hapa ni kodi ya Serikali basi nikajua huo ni uchochezi.
Hawa watu walipaswa kufanya kama awali kuwa inakata tu gharama ya kutuma muamala bila kuonesha ipi ni kodi na ipi ni ya kwao wamiliki mtandao. Mbona - kwa mfano hawaoneshi kuwa wakala anapata kiasi gani na mmiliki wa mtandao anapata kiasi gani?
Kwanini waoneshe kodi ya Serikali? Hebu Serikali shtukieni hili - wamiliki wa mtandao wanawakosanisha na wananchi wanyonge wa Tanzania!
Shetani ni Zaidi ya mwehu!Angalia kwanza kiini cha tatizo kabla kufika huko. Shetani ni mwehu siku zote
Hakika we ni punguaniNilivyoona tu eti wanaonesha kabisa kwamba amount hii ni gharama zao na amount hii hapa ni kodi ya Serikali basi nikajua huo ni uchochezi.
Hawa watu walipaswa kufanya kama awali kuwa inakata tu gharama ya kutuma muamala bila kuonesha ipi ni kodi na ipi ni ya kwao wamiliki mtandao. Mbona - kwa mfano hawaoneshi kuwa wakala anapata kiasi gani na mmiliki wa mtandao anapata kiasi gani?
Kwanini waoneshe kodi ya Serikali? Hebu Serikali shtukieni hili - wamiliki wa mtandao wanawakosanisha na wananchi wanyonge wa Tanzania!
Halafu we Ni gay utakuwaYaani wewe unnitukana kabisa kuwa mimi MATAGA, unajua unapata dhambi aseeeee! Bora hata ungeniambia mbupu zangu kuliko kuniita MATAGA! Umenionea sana sana. Na sitakusahau maisha yangu yote - kwanza MATAGA mwenyewe!
Nilivyoona tu eti wanaonesha kabisa kwamba amount hii ni gharama zao na amount hii hapa ni kodi ya Serikali basi nikajua huo ni uchochezi.
Hawa watu walipaswa kufanya kama awali kuwa inakata tu gharama ya kutuma muamala bila kuonesha ipi ni kodi na ipi ni ya kwao wamiliki mtandao. Mbona - kwa mfano hawaoneshi kuwa wakala anapata kiasi gani na mmiliki wa mtandao anapata kiasi gani?
Kwanini waoneshe kodi ya Serikali? Hebu Serikali shtukieni hili - wamiliki wa mtandao wanawakosanisha na wananchi wanyonge wa Tanzania!
Du!Hakika we ni punguani
Du!Ilibidi iwe Siri? Manyoko
Kumbe?Kodi ni mchakato wa wazi. Kuanzia lini ukawa siri? Yaani nilipe kodi then uone nikiambiwa nimelipa kiasi gani ni kosa? Wewe inaonekana ni jambazi, kwa serikali inayochkua kodi kwa haki haiwezi kuogopa mlipa kodi kujua alicholipa.
Ndiyo wakoje hao gay?Halafu we Ni gay utakuwa
"Ukweli na uwazi"... RIP MkapaNilivyoona tu eti wanaonesha kabisa kwamba amount hii ni gharama zao na amount hii hapa ni kodi ya Serikali basi nikajua huo ni uchochezi.