Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 977
- 1,966
Kwenye swala la online television hizi za YouTube binafsi naona polisi mnatumia nguvu nyingi bila sababu ya msingi.
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, kupitia Kamanda Jumanne Muliro, limeeleza kuwa watu wanne wamekamatwa kwa tuhuma za kumiliki vyombo vya habari (media) bila kuwa na leseni. Waliokamatwa ni Japhet Alex akiwa pamoja na Joseph Mabe, Tegemeo Zacharia, na Eliah Pius.
View attachment 3489008
Huu upuuzi inabidi usiwepo in the first place... Hii serikali imezoea kutaka kula hata ambapo haitafuti wala kusaidia kutafuta; Acha tu kutaka kuziba watu midomo / uhuru kwa mgongo wa sheria bali Kodi / Makusanyo yasiyo na Tija au Uhalisia (Leseni haitoko Bure)kwanza mnatakiwa mkikuta hizo YouTube na mkawajua wahusika muwape elimu kuwa kwa hapa nchini ili umiliki online YouTube lazima uwe na leseni na utaratibu ni huu wapeni muda hata wa mwezi mmoja hadi mitatu wasajili hizo tv
Huenda pole pole ndio kawatajaWakuu,
Watu wanne waliokuwa wanamiliki akaunti za mtandao wa Youtube za Wispoti TV, T.Media Two na Costa Tv wamekamatwa kwa madai ya kuendesha akaunti hizo bila ya kuwa na leseni. Akaunti hizo ni kati ya zile zilikokuwa zikirusha press za Polepole kila alipokuwa akizitoa.
Kumbuka Polepole alishawahi kusema kuwa media zimelipwa huku nyingine zikitishwa kutorusha maudhui yake. Hili limethibitika sasa, maana waliokuwa wakiendelea kurusha maudhui hayo ndio kama hawa ambao kama walishindwa kuwashughulikia kipindi kile wanadili nao sasa ili kuzidi kuzima kelele zinazohimiza kupatikana kwa Polepole!
Media sasa zimekuwa za serikali na CCM, kila kitu wanachoposti kama sio cha kusifia CCM basi ni kuponda upinzani, na kuweka vitisho kwa wananchi ili waendelee kuwa watii kwao! Sheria za ovyo zinatumika kama fimbo ya kuwachapia wale wote wanaoonekana kuwa tofauti na serikali pamoja na CCM.
======
TAARIFA KWA UMMA
WATUHUMIWA WANNE WAKAMATWA KWA KUENDESHATELEVISHENI YA MTANDAONI BILA LESENI
Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam kwa kushirikiana na Mamlaka zingine za kisheria, tarehe 03 hadi 10 Oktoba, 2025 limefanikiwa kuwakamata watuhumiwa wanne kwa tuhuma za kuendesha "Televisheni ya mtandaoni" bila kuwa na leseni. Waliokamatwa ni; 1. Japhet Alex Thobias, Mkazi wa Sabasaba Ukonga; 2. Joseph Augustino Mabwe, Mkazi wa Sabasaba Ukonga wanaodaiwa kumiliki WISPOTI TV; 3. Tegemeo Zacharia Mwenegoha, Mkazi wa Tabata Ilala mmiliki wa T.MEDIA TWO na; 4. Elia Costantino Pius Mkazi wa Mbezi Juu Kinondoni mmiliki wa COSTA TV.
Upelelezi umekamilika na mifumo mingine ya kisheria itatumika ili wafikishwe mahakamani haraka kadri watuhumiwa wote itakavyowezekana.
Jeshi la Polisi linatoa wito kwa wananchi kuendelea kufanya kazi zao kwa kuzingatia mifumo ya kisheria na halitasita kuwatia mbaroni watu wote wanaotuhumiwa kutenda makosa.
Imetolewa na;
Kamanda wa PolisiKanda Maalum ya Polisi
Dar es Salaam.
Wandugu ni lini taifa letu,kama sii mataifa ya Afrika au duniani yatakuwa na watu wanaojali na kujua mahitaji ya wale wanaowaongoza ama kuwatawala?Je ni kweli uelewa haupo ama ni njia tu ya kuwadunisha watu wao,jamii yao na mataifa yao kwa kiburi cha mamlaka?Wakuu,
Watu wanne waliokuwa wanamiliki akaunti za mtandao wa Youtube za Wispoti TV, T.Media Two na Costa Tv wamekamatwa kwa madai ya kuendesha akaunti hizo bila ya kuwa na leseni. Akaunti hizo ni kati ya zile zilikokuwa zikirusha press za Polepole kila alipokuwa akizitoa.
Kumbuka Polepole alishawahi kusema kuwa media zimelipwa huku nyingine zikitishwa kutorusha maudhui yake. Hili limethibitika sasa, maana waliokuwa wakiendelea kurusha maudhui hayo ndio kama hawa ambao kama walishindwa kuwashughulikia kipindi kile wanadili nao sasa ili kuzidi kuzima kelele zinazohimiza kupatikana kwa Polepole!
Media sasa zimekuwa za serikali na CCM, kila kitu wanachoposti kama sio cha kusifia CCM basi ni kuponda upinzani, na kuweka vitisho kwa wananchi ili waendelee kuwa watii kwao! Sheria za ovyo zinatumika kama fimbo ya kuwachapia wale wote wanaoonekana kuwa tofauti na serikali pamoja na CCM.
======
TAARIFA KWA UMMA
WATUHUMIWA WANNE WAKAMATWA KWA KUENDESHATELEVISHENI YA MTANDAONI BILA LESENI
Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam kwa kushirikiana na Mamlaka zingine za kisheria, tarehe 03 hadi 10 Oktoba, 2025 limefanikiwa kuwakamata watuhumiwa wanne kwa tuhuma za kuendesha "Televisheni ya mtandaoni" bila kuwa na leseni. Waliokamatwa ni; 1. Japhet Alex Thobias, Mkazi wa Sabasaba Ukonga; 2. Joseph Augustino Mabwe, Mkazi wa Sabasaba Ukonga wanaodaiwa kumiliki WISPOTI TV; 3. Tegemeo Zacharia Mwenegoha, Mkazi wa Tabata Ilala mmiliki wa T.MEDIA TWO na; 4. Elia Costantino Pius Mkazi wa Mbezi Juu Kinondoni mmiliki wa COSTA TV.
Upelelezi umekamilika na mifumo mingine ya kisheria itatumika ili wafikishwe mahakamani haraka kadri watuhumiwa wote itakavyowezekana.
Jeshi la Polisi linatoa wito kwa wananchi kuendelea kufanya kazi zao kwa kuzingatia mifumo ya kisheria na halitasita kuwatia mbaroni watu wote wanaotuhumiwa kutenda makosa.
Imetolewa na;
Kamanda wa PolisiKanda Maalum ya Polisi
Dar es Salaam.
Ingekuwa hivyo hata majambazi yangekuwa yanapewa elimu kwanza kuwa ujambazi ni mbaya. Kutojua sheria haikupi nafasi ya kutoadhibiwa endapo umekosea. Waliokamatwa ni wapumbavu mno. Wanajua kabisa hawana leseni halafu wanapost ujinga wa Polepole asiye na adabu.Kwenye swala la online television hizi za YouTube binafsi naona polisi mnatumia nguvu nyingi bila sababu ya msingi.
kwanza mnatakiwa mkikuta hizo YouTube na mkawajua wahusika muwape elimu kuwa kwa hapa nchini ili umiliki online YouTube lazima uwe na leseni na utaratibu ni huu wapeni muda hata wa mwezi mmoja hadi mitatu wasajili hizo tv
Myie kwenu ni kosa ila kwa vijana ni dreams come true kwao ni namna pia ya kujiajiri na wengine wanaingia humo bila uzoefu wowote maana kufungua channel YouTube ni rahisi sana na sio complicated.
Muda mwingine tutumie hekima na elimu zaidi sio nguvu kila sehemu..