GE2025 Wamiliki wa "Online TV" zilizorusha maudhui ya Polepole wakamatwa na Polisi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Mashujaa...
 
Wakuu nina swali. Hivi nikitaka kuwaambia watu kitu ni lazima nipate kibali sirikalini?
 
CCM ni wakoloni wengine maana mashetani hawa wanatawala nchi kimabavu
 
Yaani YouTube channel imegeuka TV tena. Nahisi hilo neno Channel linawachanganya.

Hakuna uhakika wa maandamano lakini ni vizuri yakitokea.
Waulize ukianzisha YouTube channel unajisajiri wapi Tanzania? Na je kwa nini TRA wanachukua 5% ya mapato yao kama hawatambuliki Tanzania?

Hiv kweli kutumia akíli hakupo tena Tanzania?
 
Hawajauawa? Au ni zile maiti zilizopatilana juzi
 
watendaji wetu wanafanya kazi kisiasa siasa tu bilakuwa na uelewa mpana wa hizo tekinolojia zenyewe si ajabu sababu ya hayo maleseni ni mauzui ya kisiasa ndio sababu.. badala wakae na wataalam wa hizi tekinolijia na waje na solution nzuri wao kwao youtube, na mitandao ya kijamii ni maadui kwao imagine mawazo yao hayo.!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…