Mrs Besyige
JF-Expert Member
- Aug 27, 2019
- 1,040
- 2,923
ntaifanya mimi hii valentine..bonge ya ideaHii hela jomba,
Leo kuna kadem kamenifurahisha ndo maana nimeona nimwage madini kdg
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ntaifanya mimi hii valentine..bonge ya ideaHii hela jomba,
Leo kuna kadem kamenifurahisha ndo maana nimeona nimwage madini kdg
na ile kauli yao "siuzi, na WALA SITOI BURE"Wee hakuna mwanamke atafika hapo sana sana wanaojiuza na wake za watu
Hahahahah huyo demu umekutana nae kiwanja nin mpaka ukaikumbuka hii idea yako mkuu[emoji3]Hii hela jomba,
Leo kuna kadem kamenifurahisha ndo maana nimeona nimwage madini kdg
Watu wamekariri kwenye nyumba za ibadaWabongo wajuaji sana af hawana creativity, mm wateja wangu wananifuata sifuati wateja. Mtu akiona biashara yake inayumba au anataka kuipanua ndo anakuja chemba
Sehemu kama havoc, na madem wanaingia bure sio lazima kulipia. Au pale dance and club mwenge. Kwa dar kuna spots kibao tu, hata huyu mama wa kitambaa cheupe akiamua anafanya hii,Ikiandaliwa mahali pazuri kama seacliff ctfm aaaaah mbona watajaaa tuu
Aisee hii kitu wahusika wakitupia macho hapa naamini miezi 6 haipiti itakuwa imeanzaSehemu kama havoc, na madem wanaingia bure sio lazima kulipia. Au pale dance and club mwenge. Kwa dar kuna spots kibao tu, hata huyu mama wa kitambaa cheupe akiamua anafanya hii,
Huwezi hata omba namba, wachungaji na watumishi ndo wanaishia kujichagulia tu na kula kondoo wanonoWatu wamekariri kwenye nyumba za ibada
Matokeo yake wanakuwa wanapishana maana hayo maeneo wengine ni kama sehemu ya kuonesha ustaarabu kusali na kusepa
Unaanzaje kuomba namba kanisani sasa si utaambiwa una mapepo 😄Huwezi hata omba namba, wachungaji na watumishi ndo wanaishia kujichagulia tu na kula kondoo wanono
Unatakiwa uiadvertise kwenye hizi local radio na tv halafu huko kwenye hayo matangazo unaelezea kabisa maana ya hio "blind date"ili wateja waelewe maana yake kabisantaifanya mimi hii valentine..bonge ya idea
No hata sijampatia kiwanja, ni secretary office jiran na kwangi, huyu dem nilifikiria tu angeweza kutana na muoaji angeolewa na yeye anasema hakuna waoajiHahahahah huyo demu umekutana nae kiwanja nin mpaka ukaikumbuka hii idea yako mkuu[emoji3]
Kongole sana. Wazo lako ni zuri. Pengine wengine watakumbia mbona mitandao na social media ziko? Ni hivi: Ile kuonana ana kwa ana na kuongea ni jambo la uhakika zaidi. Interaction ya ana kwa ana inafanya watu wapimane na kujuana kwa uhakika zaidi. Na asikuambie mtu: kuna watu wengi sana wanatafuta wenza wa kuishi nao. Vijana kwa watu wazima. Halafu sehemu kama hiyo unameona ana kwa ana, na yeye anakuona kabla hata hamjaanza kusalimiana. Hii inaondoa ile tifu tifu ya social media au dating sites ambazo mtu anaweka picha za kimkakati na mnapokutana unakuta ni mtu tofauti kabisa. Na pia watu wenye aibu kwenye dating za mitandao huwa wanapopanga kuonana wanakwenda huku wakijiuliza, atanipenda kweli?Mimi similiki biashara ya kiwanja au sehemu ya starehe lakini professionally mm ni Asset manager, business and financial advisor. Na kwa bahati mbaya sana sina mteja ambae anamiliki biashara aina hio.
Lakini hebu nyie wamiliki tumieni akili, mnapoteza sana muda kwa kudhan kuajiri wadada wenye matako makubwa ndo watawaletea wateja, the truth is nyie ndo mnawaletea wateja hao wadada wenye matako makubwa.
Kama una kiwanja au oub, wewe andaa blind dates zako 2 kila mwezi. Labda hujui blind date ni nn, blind date ni ile mnaenda sehemu watu wengi wa jinsia tofauti na lengo kuu ni kutafuta match, au mtu unaeendana nae na myajenge. Huu sio umalaya au biashara ya kuuza na kununua kipochi manyoya, huu ni mfumo uliowekwa tangu zamani huko nchi za wenzetu ili watu wakutane, wafahamiane na waanze mahusiano.
Sasa jiulize umeandaa blind date kwako, uza soda 1000, maji 2000, vinywaji vyote weka bei za maana sababu watu watajazana tu.
Trust me kuna watu kibao wanatafuta watu wa kubond nao, na usichukue maneno yangu, business specialist kutoka harvard na stanford wanakwambia biashara nzr yyt nzr ni ile inayotimisa 'one of the core human desires' na 'desire to bond' ni mojawapo ya hizo core desires.
Hivi hujiulizi kwa nn apps za dating haipo app unayoweza tumia bure na zote zinapiga hela, sasa nyie cheleweni kuchangamkia fursa, nikikasirika nitafungua kiwanja special tu kwa ajili ya blind dates ili kina dronedrake waache kupiga nyeto wakajiopolee mali swaaaf.
soonUtanipa location ya kiwanja chako nije kuchoma 1m hapo
hapo unapata wa kuzeeshana naye😋😋😊Kongole sana. Wazo lako ni zuri. Pengine wengine watakumbia mbona mitandao na social media ziko? Ni hivi: Ile kuonana ana kwa ana na kuongea ni jambo la uhakika zaidi. Interaction ya ana kwa ana inafanya watu wapimane na kujuana kwa uhakika zaidi. Na asikuambie mtu: kuna watu wengi sana wanatafuta wenza wa kuishi nao. Vijana kwa watu wazima. Halafu sehemu kama hiyo unameona ana kwa ana, na yeye anakuona kabla hata hamjaanza kusalimiana. Hii inaondoa ile tifu tifu ya social media au dating sites ambazo mtu anaweka picha za kimkakati na mnapokutana unakuta ni mtu tofauti kabisa. Na pia watu wenye aibu kwenye dating za mitandao huwa wanapopanga kuonana wanakwenda huku wakijiuliza, atanipenda kweli?
Kweli mkuu inatakiwa nikitinga kwenye event nachagua pisi ya kuchomoka nayo kwa one night standHuwezi hata omba namba, wachungaji na watumishi ndo wanaishia kujichagulia tu na kula kondoo wanono
Waowaji wapo sema na yeye usikute anaselect saanaNo hata sijampatia kiwanja, ni secretary office jiran na kwangi, huyu dem nilifikiria tu angeweza kutana na muoaji angeolewa na yeye anasema hakuna waoaji
Fanya mkuu. Nakuhakikishia mtaani kuna watu kibao wanatafuta wenza lakini shida ni kama ile ile ya kutafuta kitu dukani? Nitaenda duka gani? Na ukitaka kufanikiwa unaanza kwanza kufanya hiyo sehemu iwe maarufu, iwe inakwenda watu wengi na watu wa maana. Ikishakuwa ni sehemu yenye umaruufu basi unaingiza siku moja kwa wiki au kwa mwezi iwe siku ya hiyo shughuli.ntaifanya mimi hii valentine..bonge ya idea
Tena je!hapo unapata wa kuzeeshana naye😋😋😊