Wamiliki wa viwanja na sehemu za starehe mnashindwa nini kuwa na utaratibu wa kuandaa 'BLIND DATES'

Fanya mkuu. Nakuhakikishia mtaani kuna watu kibao wanatafuta wenza lakini shida ni kama ile ile ya kutafuta kitu dukani? Nitaenda duka gani? Na ukitaka kufanikiwa unaanza kwanza kufanya hiyo sehemu iwe maarufu, iwe inakwenda watu wengi na watu wa maana. Ikishakuwa ni sehemu yenye umaruufu basi unaingiza siku moja kwa wiki au kwa mwezi iwe siku ya hiyo shughuli.
nimenyaka idea .ntaifanya valentine .....ntaleta mrejesho
 
Fanya mkuu. Nakuhakikishia mtaani kuna watu kibao wanatafuta wenza lakini shida ni kama ile ile ya kutafuta kitu dukani? Nitaenda duka gani? Na ukitaka kufanikiwa unaanza kwanza kufanya hiyo sehemu iwe maarufu, iwe inakwenda watu wengi na watu wa maana. Ikishakuwa ni sehemu yenye umaruufu basi unaingiza siku moja kwa wiki au kwa mwezi iwe siku ya hiyo shughuli.
Ndo maana nikasema iwepo mfano mara 2 kwa mwezi au kila jmosi, ni songz laini tu na vinywaji. Ukiifanya vzr inaweza kuwa brand identity ya kiwanja chako. Mtu anajua 'kwa fulani' ndo sehemu ya kupatia wachumba
 
Fanya mkuu. Nakuhakikishia mtaani kuna watu kibao wanatafuta wenza lakini shida ni kama ile ile ya kutafuta kitu dukani? Nitaenda duka gani? Na ukitaka kufanikiwa unaanza kwanza kufanya hiyo sehemu iwe maarufu, iwe inakwenda watu wengi na watu wa maana. Ikishakuwa ni sehemu yenye umaruufu basi unaingiza siku moja kwa wiki au kwa mwezi iwe siku ya hiyo shughuli.
kibongo bongo inafana mwanzoni, baadae mambo yanageuka
rejea Tinder, Badoo na Tagged kipindi zinaingia na leo hii
Rejea ule mtandao wa Mzibo, ka-guestroom flani cha ku share issues mbalimbali za music, etc, mwaka 2006 huo
niliingia tena 2013, salaale, mashoga na wauza K wamejazana mpaka ukafungiwa

kwa njaa za hawa team pinzani, kasheshe ipo
 
Idea yoyote iliyokaa kishetani lazima ilipe. Mimi ninaunga mkono hoja. Watu wenye mabaa kama wameamua kufanya kazi ya kishetani basi wasifanye nusunusu.. wawe wabunifu kwasababu hata shetani mwenyewe ni mbunifu. Wajanja lazima wausome huu uzi na kuufanyia kazi kama kweli wanahitaji pesa za fasta. Ninafikiri kwa atakayeanza hii idea ahakikishe jirani kuna lodge ya maana.
Umetisha mkuu
 
Kukutanisha watu inakuaje suala la kishetani tena 😄
 
Na msije mkanielewa vibaya, hapa simaanishi Sex party, ukiandaa sex party jiandae kwenda jela na usije ukanitaja eti nilikushauri sababu sheria za bongo haziruhusu
Umefanya vizuri kuelewesha. Na pia ijulikane siyo sehemu ya kupata machangudoa. Siyo kama Kona Baa ya zamani pale Sinza, ambako watu walikwenda kuchagua changudoa pisi kali. Unakuwa na utaratibu wa kuhakikisha kuwa wanaokuja pale ni watu wenye heshima zao.
 
uhalisia hiyo idea ni ngumu sana kuitekeleza bila kusaidiana na nyumba za ibada.

Tanzania watu wengi wenye nia ya dhati kusaka wenza huwa wana imani sana za dini wanazoziabudu. hasa wanawake.

ukifanya hiyo idea bila kusaidiwa promo huko wanapoabudu, wanawake wife materials hawatakuja. watakuja wadangaji tu na kuharibu idea.
 
kibongo bongo inafana mwanzoni, baadae mambo yanageuka
rejea Tinder, Badoo na Tagged kipindi zinaingia na leo hii
Rejea ule mtandao wa Mzibo, ka-guestroom flani cha ku share issues mbalimbali za music, etc, mwaka 2006 huo
niliingia tena 2013, salaale, mashoga na wauza K wamejazana mpaka ukafungiwa

kwa njaa za hawa team pinzani, kasheshe ipo
Kila biashara ina challenge, hizo sites na apps zinakufa sababu ni virtual business, unakuta mwanaume anajifanya dem, ni kama hapa tu jf. Ila hii face to face ni issue nyingine. Challenges zitakuja sababu mbeleni makahaba wa riverside watahamia kule lkn that's not a problem, sisi tupige hela kwanza mengine yatajisolve.

Na pia unajua hii ikiwa kwenye viwanja classy kama havoc, wavuvi, etc... hawa malaya cheap wasiojua hata kuandika hutowaona
 
"huu ni mfumo uliowekwa tangu zamani huko nchi za wenzetu ili watu wakutane, wafahamiane na waanze mahusiano."

Hii👆 kitu zamani kule kwetu miaka ya 90 kurudi nyuma ilikuwepo japo ni kijijini.

Wazo lako ni nzuri sana mkuu.

Hii kwangu ni post nzuri ya mwaka
 
uhalisia hiyo idea ni ngumu sana kuitekeleza bila kusaidiana na nyumba za ibada.

Tanzania watu wengi wenye nia ya dhati kusaka wenza huwa wana imani sana za dini wanazoziabudu. hasa wanawake.

ukifanya hiyo idea bila kusaidiwa promo huko wanapoabudu, wanawake wife materials hawatakuja. watakuja wadangaji tu na kuharibu idea
Yaani paroko awe anatoa muongozo kwamba ijumaa saa 4 usiku kitambaa cheupe kutakuwa na blind date 😆😂
 
Kila biashara ina challenge, hizo sites na apps zinakufa sababu ni virtual business, unakuta mwanaume anajifanya dem, ni kama hapa tu jf. Ila hii face to face ni issue nyingine. Challenges zitakuja sababu mbeleni makahaba wa riverside watahamia kule lkn that's not a problem, sisi tupige hela kwanza mengine yatajisolve.

Na pia unajua hii ikiwa kwenye viwanja classy kama havoc, wavuvi, etc... hawa malaya cheap wasiojua hata kuandika hutowaona
Yaap viwanja vikiwa classic wahusika watajichuja tuu
 
uhalisia hiyo idea ni ngumu sana kuitekeleza bila kusaidiana na nyumba za ibada.

Tanzania watu wengi wenye nia ya dhati kusaka wenza huwa wana imani sana za dini wanazoziabudu. hasa wanawake.

ukifanya hiyo idea bila kusaidiwa promo huko wanapoabudu, wanawake wife materials hawatakuja. watakuja wadangaji tu na kuharibu idea.
Mkuu, kama mwamposa anaweka matangazo yake karibu na roma mm nashindwaje kuweka matangazo karibu na kanisani kwake tena jpili?

Businesswise lazima uwe mafia, la sivyo hutoboi.
 
Kila biashara ina challenge, hizo sites na apps zinakufa sababu ni virtual business, unakuta mwanaume anajifanya dem, ni kama hapa tu jf. Ila hii face to face ni issue nyingine. Challenges zitakuja sababu mbeleni makahaba wa riverside watahamia kule lkn that's not a problem, sisi tupige hela kwanza mengine yatajisolve.

Na pia unajua hii ikiwa kwenye viwanja classy kama havoc, wavuvi, etc... hawa malaya cheap wasiojua hata kuandika hutowaona

malaya wana class zao. hata huko havoc wanawake wanaoenda wengi ni wadangaji. ni ngumu sana wife material ukutane nae havoc.

hata ukisema uende Serena ama Hyatt utawakuta wadangaji class ndio wamejaa
 
uhalisia hiyo idea ni ngumu sana kuitekeleza bila kusaidiana na nyumba za ibada.

Tanzania watu wengi wenye nia ya dhati kusaka wenza huwa wana imani sana za dini wanazoziabudu. hasa wanawake.

ukifanya hiyo idea bila kusaidiwa promo huko wanapoabudu, wanawake wife materials hawatakuja. watakuja wadangaji tu na kuharibu idea.
Au watengeneze dating show flani waweke youtube, halafu highlights wanaupload tiktok, reels na shorts

Naona wakenya wanafanya dating shows huko youtube sijui 'smash or pass'😂 ila hii utawapata vijana zaidi
 
malaya wana class zao. hata huko havoc wanawake wanaoenda wengi ni wadangaji. ni ngumu sana wife material ukutane nae havoc.

hata ukisema uende Serena ama Hyatt utawakuta wadangaji class ndio wamejaa
Mzee hata wake za watu wengine ni wadangaji. Kudanga sio shida yetu hapa, shida yetu ni kuwakutanisha watu wanaotaka ku'bond'
 
Back
Top Bottom