Wamiliki wa viwanja na sehemu za starehe mnashindwa nini kuwa na utaratibu wa kuandaa 'BLIND DATES'

Wamiliki wa viwanja na sehemu za starehe mnashindwa nini kuwa na utaratibu wa kuandaa 'BLIND DATES'

uhalisia hiyo idea ni ngumu sana kuitekeleza bila kusaidiana na nyumba za ibada.

Tanzania watu wengi wenye nia ya dhati kusaka wenza huwa wana imani sana za dini wanazoziabudu. hasa wanawake.

ukifanya hiyo idea bila kusaidiwa promo huko wanapoabudu, wanawake wife materials hawatakuja. watakuja wadangaji tu na kuharibu idea.
Hivi wewe unaamini walokole na hawa wanaoenda kwa Mwamposa kuna wife material?!
 
Wazo lako ni zuri sana mzee. Ila shida tuna wanawake ambao hawajielewi wanataka nini. Kuna jamaa m'moja ni mkonga anae ishi UK alikuja bongo kutembea tulikutana kiwanja tukawa washkaji.

Tanzania ni inchi ya pili kutembelea baada ya Kenya kwa hapa Africa hajawahi zunguka sana.

Sasa akawa ananiambia kuwa wanawake wa kitanzania ni kama wanapenda sana kutumia pesa za mwanaume na wasiwe na direction nae. Kwa kifupi jamaa aliongea udangaji.

Wanawake zetu hawajui umuhimu wa mahusiano serious ila wanapenda mahusiano ya kibiashara.

So tazama hizi Bar huwa zinajaza wanawake wanaokuja kwaajiri ya kudanga na sio mahusiano rasmi. Na hata ukiitisha wataojaa ni wanaume tu. Ni kama kizazi hiki cha watoto wa kike kinaenda na ile sheria ya wazazi kuwa Komaa na masomo mapenzi yapo tu usiyapapatikie na wanaume ni mashetani.

So kimsingi hii dah sijui kama itakuwa effective labda work plan iwe kabambe.
 
Idea mingi mpka unachanganyikiwa 🤣 hujui uguse ipi zote unaona pesa tu 😄
Kweli ziko nyingi kinoma! ☺️
Kwa jinsi ile heading ulivyo iweka isije kuwa ulitaka kuingiza vitoto kutoka cambodia uje uvipigishe mzigo 😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Hivi kumbe naweza kua najichukulia poa wakati ningekua Madam flani hivi mwenye mapesa na ma-connection yake hapa mjini.😉
 
Had it all written down.
Screenshot_20240118_191604_ColorNote.jpg


CC
raraa reree
Teslarati
 
Kweli ziko nyingi kinoma! ☺️

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Hivi kumbe naweza kua najichukulia poa wakati ningekua Madam flani hivi mwenye mapesa na ma-connection yake hapa mjini.😉
Mambo ya pesa yanaanzaga kama mizaha kitu kinaitika unabaki unashangaa heeeeee huu ujinga wangu watu wameukubali 😂
 
Unamjua mtanzania au unamsikia? 🤣🤣 Wadangaji na vijana wa hovyo ndio wataharibu hiyo idea itakuwa ni kuuziana K na tako. Kitaalam inaitwa Malayalaization process.

Malayalaization: is the process of converting anything to umalaya.
 
Back
Top Bottom