Wamiliki wa viwanja na sehemu za starehe mnashindwa nini kuwa na utaratibu wa kuandaa 'BLIND DATES'

Wabongo wajuaji sana af hawana creativity, mm wateja wangu wananifuata sifuati wateja. Mtu akiona biashara yake inayumba au anataka kuipanua ndo anakuja chemba
Watu wamekariri kwenye nyumba za ibada
Matokeo yake wanakuwa wanapishana maana hayo maeneo wengine ni kama sehemu ya kuonesha ustaarabu kusali na kusepa
 
Kongole sana. Wazo lako ni zuri. Pengine wengine watakumbia mbona mitandao na social media ziko? Ni hivi: Ile kuonana ana kwa ana na kuongea ni jambo la uhakika zaidi. Interaction ya ana kwa ana inafanya watu wapimane na kujuana kwa uhakika zaidi. Na asikuambie mtu: kuna watu wengi sana wanatafuta wenza wa kuishi nao. Vijana kwa watu wazima. Halafu sehemu kama hiyo unameona ana kwa ana, na yeye anakuona kabla hata hamjaanza kusalimiana. Hii inaondoa ile tifu tifu ya social media au dating sites ambazo mtu anaweka picha za kimkakati na mnapokutana unakuta ni mtu tofauti kabisa. Na pia watu wenye aibu kwenye dating za mitandao huwa wanapopanga kuonana wanakwenda huku wakijiuliza, atanipenda kweli?
 
hapo unapata wa kuzeeshana naye๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜Š
 
ntaifanya mimi hii valentine..bonge ya idea
Fanya mkuu. Nakuhakikishia mtaani kuna watu kibao wanatafuta wenza lakini shida ni kama ile ile ya kutafuta kitu dukani? Nitaenda duka gani? Na ukitaka kufanikiwa unaanza kwanza kufanya hiyo sehemu iwe maarufu, iwe inakwenda watu wengi na watu wa maana. Ikishakuwa ni sehemu yenye umaruufu basi unaingiza siku moja kwa wiki au kwa mwezi iwe siku ya hiyo shughuli.
 
Idea yoyote iliyokaa kishetani lazima ilipe. Mimi ninaunga mkono hoja. Watu wenye mabaa kama wameamua kufanya kazi ya kishetani basi wasifanye nusunusu.. wawe wabunifu kwasababu hata shetani mwenyewe ni mbunifu. Wajanja lazima wausome huu uzi na kuufanyia kazi kama kweli wanahitaji pesa za fasta. Ninafikiri kwa atakayeanza hii idea ahakikishe jirani kuna lodge ya maana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ