Wamiliki wawili wa Ghorofa lililoporomoka na kuua watu 29 Kariakoo wamepelekwa Mahabusu, mmoja apata dhamana

Sasa kama mahakama haina mamlaka ya kusikiliza kesi walipelekwa hapo kufanya nini? Kwanini hawakupelekwa kwenye mahakama yenye mamlaka badala ya kupoteza muda na rasilimali zingine
Haya ndio huwa maajabu ya kupotezeana muda wa serikali na hao washtakiwa.
Yaani muendesha mashtaka hawezi kuamua kupeleka kesi kwenye mahakana inayohusika ?
 
Sasa kama mahakama haina mamlaka ya kusikiliza kesi walipelekwa hapo kufanya nini? Kwanini hawakupelekwa kwenye mahakama yenye mamlaka badala ya kupoteza muda na rasilimali zingine
Sasa aliyepata dhamana kapewa na hiyo mahakama ambayo hawakutakiwa kujibu na haina mamlaka kusikiliza kivipi? Kapewaje dhamana? Kimyakimya bila kuzungumza?
 
Haya ndio huwa maajabu ya kupotezeana muda wa serikali na hao washtakiwa.
Yaani muendesha mashtaka hawezi kuamua kupeleka kesi kwenye mahakana inayohusika ?
Haya ni mambo ya kisheria na siyo kupoteza muda. Sheria inataka masaa ambayo ni lazima mtuhumiwa afikishwe mahakamani ili apte ''huduma ya kwanza'' eg dhamana. Ni kama unapoumia na unapelekwa dispensary ya karibu kupata huduma ya kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…