Haya ndio huwa maajabu ya kupotezeana muda wa serikali na hao washtakiwa.Sasa kama mahakama haina mamlaka ya kusikiliza kesi walipelekwa hapo kufanya nini? Kwanini hawakupelekwa kwenye mahakama yenye mamlaka badala ya kupoteza muda na rasilimali zingine
Yaani muendesha mashtaka hawezi kuamua kupeleka kesi kwenye mahakana inayohusika ?