Pluto thnker
Senior Member
- Aug 25, 2024
- 147
- 295
nami huwa najiulizaga sana hilo swali hz sheria zngne hazinaga mantiki kwakwel,Sasa kama mahakama haina mamlaka ya kusikiliza kesi walipelekwa hapo kufanya nini? Kwanini hawakupelekwa kwenye mahakama yenye mamlaka badala ya kupoteza muda na rasilimali zingine
Magorofa mengi kariakoo ni ya Urithi usiogope sana!!wengine wanafanyaga kazi gani? miaka 38 ana gorofa kariakoo, wengine ndo kwanza wanahangaika na madalali kimbiji
Huwa inashangaza sana huu mtindo, sijawahi kuelewa.Sasa kama mahakama haina mamlaka ya kusikiliza kesi walipelekwa hapo kufanya nini? Kwanini hawakupelekwa kwenye mahakama yenye mamlaka badala ya kupoteza muda na rasilimali zingine
Mahakama ina siasa zake,na kuzielewa ni kazi lubwa sana ,maana saa zingine zinaweza mpaa mtu haki bila sababu yoyote ile ambae siyo muhusika!!Sasa Ulitaka Akiwepo Mtaani Achuchumae Na Si Kudunda?
Mapicha picha tuSasa aliyepata dhamana kapewa na hiyo mahakama ambayo hawakutakiwa kujibu na haina mamlaka kusikiliza kivipi? Kapewaje dhamana? Kimyakimya bila kuzungumza?
Ndio nini??Commital proceeding
Sasa kwa nini asipelekwe kwenye mahakama iliyo na uwezo wa kusikiliza kesi yake kisheria?Haya ni mambo ya kisheria na siyo kupoteza muda. Sheria inataka masaa ambayo ni lazima mtuhumiwa afikishwe mahakamani ili apte ''huduma ya kwanza'' eg dhamana. Ni kama unapoumia na unapelekwa dispensary ya karibu kupata huduma ya kwanza.
Yeah! Yote maishaNa mimi nimewaza hilo mkuu.mm na 35 plus sina hata vyumba 3 na sijui ntavipata lini kama kula kwenyewe kwa shida
Mahakama za juu zinakuwa busy na haziko kila sehemu. Huu utaratibu ni mzuri kwa sababu unalinda haki ya mtuhumiwa kupata dhamana kwa haraka japo CCM inautumia vibaya kukomoa wapinzani wake.Sasa kwa nini asipelekwe kwenye mahakama iliyo na uwezo wa kusikiliza kesi yake kisheria?
If ur straight man no one is bottom oneSuck on it.
I am straight man, and a peaceful man. I don't tear nothing.
Kabisa haiwezekani hawa wakawa wamiliki wa ghorofa hilo huyo mkristo na waislamu wawili huwa mambo hayawi hivyo. Wamekosea kwenye kutunga uongo wao waanze upya.Hao waliotajwa ni magumashi Tu hakuna mmiliki hapo hata hayo majina ni fake bado... mmiliki wa jengo anajulikana na yupo mtaani anadunda Tu
Yeah as I said before, I don't tear nothing. I am straight dudeIf ur straight man no one is bottom one
Mother f***r
Son of bi**h
Kwamba wamiliki wa jengo la bil 3 wamekosa dhamana ya milioni 5. Au ni wabeba mizigo ?Wamiliki wawili wa jengo la ghorofa lililoporomoka Kariakoo, Dar es salaam wamepelekwa mahabusu baada ya kukosa dhamana huku mmoja wao ambaye ni Leondela Mdete (49) akipata dhamana katika kesi ya kuua bila kukusudia inayowakabili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.
Waliokosa dhamana ni Zenabu Islam (61), Mkazi wa Kariakoo na Ashour Awadh Ashour (38), Mkazi wa llala ambapo kwa pamoja walipewa masharti ya kuwa na Wadhamini wawili kila mmoja wenye barua za utambulisho, kitambulisho cha Taifa na watatakiwa kusaini bondi ya shilingi milioni tano kwa kila mmoja.
Wafanyabiashara hao wamefikishwa Mahakamani hapo leo na kusomewa mashtaka yao mbele ya Hakimu Mkazi Mwandamizi, Godfrey Mhini ambapo Wakili Mwandamizi wa Serikali Adolfu Lema akisaidiana na Neema Mwanga na Erick Kamala walidai kuwa Washitakiwa hao walitenda kosa hilo Novemba 16 mwaka huu Mtaa wa Mchikichi na Kongo, jijini Dar es salaam.
Ilidaiwa kwamba, Washitakiwa hao kwa pamoja walishindwa kutimiza majukumu yao na kusababisha vifo vya Watu 31 ambapo baada ya kuwasomea mashitaka hayo, Hakimu Mhini aliwaeleza Washitakiwa kwamba hawatakiwi kujibu lolote kwasababu Mahakama hiyo haina mamlaka ya kusikiliza kesi hiyo huku upande wa Jamhuri ukidai kuwa upelelezi wa kesi hiyo bado haujakamilika hivyo ukaiomba Mahakama ipange tarehe nyingine ya kutajwa, kesi imeahirishwa hadi December 12 mwaka huu.
Pia Soma: Wamiliki jengo lililoporomoka Kariakoo wafikishwa Mahakamani Kisutu