new generation
JF-Expert Member
- Mar 14, 2012
- 817
- 1,687
Kwq gari hapa Tanzania (dsm) system nyingi zinatumia r134a, some very few modern cars zinatumia r1234yf refrigerant, na kwa Ac za majumbani nyingi kwasasa ni r22a na r410aNaomba kujua, nataka kuanza kuuza Gesi za friji;
1. Maduka ya kuuza Gesi za friji kwa jumla yanapatikana maeneo gani jijini Dar es Salaam
2. Gesi za aina gani zinazotumika kwenye Friji, AC, na AC za magari na zipi zilizopitwa na wakati (yani R22 au R420 n.k.)
Sent using Jamii Forums mobile app