Wamisionari waliofika Tanganyika walikuta watu wamestaarabika na wanajua kusoma na kuandika

Wamisionari waliofika Tanganyika walikuta watu wamestaarabika na wanajua kusoma na kuandika

Huyu jamaa huwa namsoma sana. Sielewi anayatoa wapi haya. Huwa sijui ni dini gani maana ni kama amewahi sali dini zote hizo. Najiuliza huo muda na haya anayoandika. Huwa sielewi kwa kweli hizi dini hizi kama ni kweli sisi wengine tutapata shida sana kwa kweli
Inatusaidia sana kuuufahamu uislamu. Huwa namfuatulia anapoongea facts
 
Mzee,
Walikuwa wanajua kusoma na kuandika lugha gani hasa?
Kiswahili kwa kutumia herufi za Kiarabu. Hiki Kiswahili unachotumia leo kilikuwa kinaandikwa kwa herufi za Kiarabu kabla ya mabeberu kulazimisha herufi hizi za Kilatini. Hata ukiangalia rupia za mwanzo za Mjerumani zilikuwa na maandishi ya Kiarabu.
 
Back
Top Bottom